Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Aisee kwa baba kijacho wake anaonekana kabisa hajatulia
Marastaa malayaa sana...watu walikuwa wanashangaa [emoji1787][emoji1787]

Sasa Kuna bomu Beyonce kalikalia siku likilipuka dunia itatetema, yaan amemeza moto fire [emoji91]

Jay z ana watoto mia nje na wote anajifanya sio wake[emoji1787][emoji1787]

Bey ana roho ngumu sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hawa nadhan Beyonce ndio anaifanya ile kapo iendelee kuwepo sidhan kama Jigga anamuelewa Bey kama Bey anavyomuelewa Jigga
 
Mie napenda wakati Rihanna yupo na Breezy hao kina Asap sijui naona janja janja nyingi
Asap kashatengeneza brandy yake na kamchuna mihela ya kutosha ( mtaji) na mimba kamtwisha, hana cha kupoteza[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Na dunia nzima tunajua kuwa Asap kamkojoza Riri na mbegu yake imetengeneza kiumbe, Rihanna kwisha habaree yake[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Asap kashatengeneza brandy yake na kamchuna mihela ya kutosha ( mtaji) na mimba kamtwisha, hana cha kupoteza[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Na dunia nzima tunajua kuwa Asap kamkojoza Riri na mbegu yake imetengeneza kiumbe, Rihanna kwisha habaree yake[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Riri pole yake
 
Back
Top Bottom