Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

Kila mtu mrembo matunzo tuu, jitahidi kumtunza pisi yako huone atakavyo ng'aa kuzidi Rihanna,
Hivi kweli hii pisi yangu ya Uyole ina vidole kama matoleo ya viazi vitamu,
Sura ya babu yake,
Miguu kama anachezea mtibwa sugar,
Matundu ya pua kama mviringo wa kondom,
Tumbo na tako vinashindana ukubwa,
Nywele zimesimama kama zinajiandaa kushindana marathon,
Ndo uniambie matunzo kweli ifanane na Shakira?
Tuweni serious wakati mwingine wakuu
 
Mpeleke saloon akapigwe mekapu halfu uone kama utamjuwa
 
Wanawake warembo siku hizi wameadimika mno.

Kipindi cha ujana ilikua mtu unatembea kilometa kadhaa kufuata mtu.

Yaani dunia nzima jamaa kawataja wawili tu ndio ujue kuwa wameadimika.
 
Kwani Rihanna anatuzwa wanawake punguzeni kufikiria kutunzwa mudawote fikirieni na kujitunza pia
Nadhani huja elewa nime lenga nini hasa, mtu ambae anapendezesha mwili kuanzia nywele hadi ngozi ni tofauti na asiye shughulikia mwili wake.

haijalishi anatunzwa au anajitunza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom