Rihanna: Super Bowl 2023

Sisi wabongo hatununui kitu, ukifanya show afu uoneshe kwa TV mtu anaangalia kwa TV.
Angalia mpira tu sababu unaoneshwa watu hawawndi uwanjani.

Hatuna utamaduni huo
 
Halafu utasikia kesho Rihanna kawasemea mbovu LGBT community, mara unasikia ana worth US$ 500 million. Utajiri wa ajabu sana huu. Yaani she is no longer a billionaire.
 
Halafu utasikia kesho Rihanna kawasemea mbovu LGBT community, mara unasikia ana worth US$ 500 million. Utajiri wa ajabu sana huu. Yaani she is no longer a billionaire.
Si unaona Ye mzee, kapagawa na sio billionaire tena... Yale ma kadarshian yana kama laaana sana yale,
 
Ila bado haijafikia Superbowl ya mwaka jana 2022 ya Dr.Dre,Slim Shaddy,50 cent,Mary blidge na Kendrik lamar
Ilibamba ukizingatia hajafanya show muda mrefu… em fikiria miaka yote hiyo na kuna wasanii wakali (currently) wakaachwa kapewa yeye na kufanya aliyofanya.
Mmh!ameupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…