Rihanna: Super Bowl 2023

Rihanna: Super Bowl 2023

.
 

Attachments

  • img_1_1676481337485.jpg
    img_1_1676481337485.jpg
    13.8 KB · Views: 6
Hilo Tamasha la Super Bowl halftime show wasanii wote waliopita hapo akiwemo Beyonce hua hawalipwi ila wanachofanya ni kugharamia mahitaji yote ya msanii katika tamasha hilo.... Malipo hujitokeza pale msanii husika atapanda chat kwenye mainstreams zote mfano nyimbo za Rihanna kama Rude Boy zimepanda na hata manunuzi ya bidhaa zake yamepanda......

Kuwalaumu wasanii wa bongo ni kuwaonea tu maana hata tamasha la aina hiyo hawana pia hakuna guarantee kama watarudisha fedha zao mashabiki wenyewe ndio sie tunaolia bando limepanda.
Sisi wabongo hatununui kitu, ukifanya show afu uoneshe kwa TV mtu anaangalia kwa TV.
Angalia mpira tu sababu unaoneshwa watu hawawndi uwanjani.

Hatuna utamaduni huo
 
Yes haulipwi hata mia, NFL wenyewe wanachofanya wanaigaramia ile maandaliz ya show, tiket ya ndege na vitu kama hivyo, sina uhakika na riri kuigharamia show yeye mwenyewe. Ila show ya Super Bowl huwa ina spike music sales za nyimbo za hao wasanii, justin timberlake aliwah perfome music sales zika spike mpaka 584%, lady gaga nae zikaenda mpaka 1000% so basically its all about money. Kisanii sasa incase bad gir riri anataka kudondosha album aidondoshe now sababu ile show imeangaliwa na watu wengi kuliko watu waloangalia main event, kama anataka kurud kwenye game muda ndio huu although she has Fenty and its doing great, and well, now she worth 1.4B, richer that hov who brought her to the mainstream industry..
Halafu utasikia kesho Rihanna kawasemea mbovu LGBT community, mara unasikia ana worth US$ 500 million. Utajiri wa ajabu sana huu. Yaani she is no longer a billionaire.
 
Halafu utasikia kesho Rihanna kawasemea mbovu LGBT community, mara unasikia ana worth US$ 500 million. Utajiri wa ajabu sana huu. Yaani she is no longer a billionaire.
Si unaona Ye mzee, kapagawa na sio billionaire tena... Yale ma kadarshian yana kama laaana sana yale,
 
Ila bado haijafikia Superbowl ya mwaka jana 2022 ya Dr.Dre,Slim Shaddy,50 cent,Mary blidge na Kendrik lamar
Ilibamba ukizingatia hajafanya show muda mrefu… em fikiria miaka yote hiyo na kuna wasanii wakali (currently) wakaachwa kapewa yeye na kufanya aliyofanya.
Mmh!ameupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom