Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
KwannChriss brown hajawahi na hatakuja kuperfom kwenye Hilo jukwaa ...
Wamarekan wameshamkataaa...
Kitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....
Mkuu ebu rekebisha kidogo Brizzy ana grammy award 1 ya album yake ya F. A. M. EKitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....
Ndio maana hata tuzo za Grammy breezy hawezi pata kabisa ...
Kiufupi alishajiharibia CV yake marekani,kutokana na ukorofi wake wa kupiga watu hovyo ,pamoja na kufanya kazi nzuri ,video ,ila watu wanampuuza ....
Hata uwe na talent kiasi gani Kama huna heshimu na adabu you are nothing.....
Well noted [emoji419]Kitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....
Ndio maana hata tuzo za Grammy breezy hawezi pata kabisa ...
Kiufupi alishajiharibia CV yake marekani,kutokana na ukorofi wake wa kupiga watu hovyo ,pamoja na kufanya kazi nzuri ,video ,ila watu wanampuuza ....
Hata uwe na talent kiasi gani Kama huna heshimu na adabu you are nothing.....
Aliipata mwaka gani ?.Mkuu ebu rekebisha kidogo Brizzy ana grammy award 1 ya album yake ya F. A. M. E
February 12 2012, tuzo za Grammy za 54, best R&B album na hii ndio ilikuwa appearance yake,Aliipata mwaka gani ?.
Yeye ndie amekataa mkuu..Chriss brown hajawahi na hatakuja kuperfom kwenye Hilo jukwaa ...
Wamarekan wameshamkataaa...
Wewe unamjua aliyezaa na Jokate ?Mumemsema Jokate mbona kwa Rihanna amsemi, mimba mbili lakini hajaolewa
[emoji125][emoji125][emoji125]
Atakuwa kicheche na mvutaji mkubwa wa mabangi.Nikizaa Mtoto wa Kike nitamuita Rihanna [emoji3059]
Wamarekani wana tabia ya unafki kama walivyo watanzania.Kitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....