Rihanna: Super Bowl 2023

Rihanna: Super Bowl 2023

Kitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....

Ndio maana hata tuzo za Grammy breezy hawezi pata kabisa ...

Kiufupi alishajiharibia CV yake marekani,kutokana na ukorofi wake wa kupiga watu hovyo ,pamoja na kufanya kazi nzuri ,video ,ila watu wanampuuza ....

Hata uwe na talent kiasi gani Kama huna heshimu na adabu you are nothing.....
 
Mkuu ebu rekebisha kidogo Brizzy ana grammy award 1 ya album yake ya F. A. M. E
 
Kitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....

Ndio maana hata tuzo za Grammy breezy hawezi pata kabisa ...

Kiufupi alishajiharibia CV yake marekani,kutokana na ukorofi wake wa kupiga watu hovyo ,pamoja na kufanya kazi nzuri ,video ,ila watu wanampuuza ....

Hata uwe na talent kiasi gani Kama huna heshimu na adabu you are nothing.....
Well noted [emoji419]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    6.4 KB · Views: 4
Kitendo cha kumpiga rihana na kumvunjia heshima ,alijukuta anajiharibia na kutengeneza chuki kubwa Sana mbele za makampuni mbalimbali .....ilionekana kama Chris's brown ni katili wa kijinsia na pamoja na kuomba msamaha ila Bado watu hawampendi .....

Ndio maana hata tuzo za Grammy breezy hawezi pata kabisa ...

Kiufupi alishajiharibia CV yake marekani,kutokana na ukorofi wake wa kupiga watu hovyo ,pamoja na kufanya kazi nzuri ,video ,ila watu wanampuuza ....

Hata uwe na talent kiasi gani Kama huna heshimu na adabu you are nothing.....
Wamarekani wana tabia ya unafki kama walivyo watanzania.
 
Back
Top Bottom