Rio aporwa bwana na rafiki yake

Rio aporwa bwana na rafiki yake

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] kwa kunichekesha

Mijanaume mingi siku hizi ni machoko yanapenda kuigaiga lifestyle za watu mpk yanaliwa viboga vyao
 
martin tunamshuku tena sana tu..
martin, wema anavaa mbele take na wala hashtuki...
demu wa martin hatumjui?
pozi zake ?? mfatilie
labda huyo sheria ngowi.!!.
afu rio ndo mwanamitindo ambae international kwa sasa...
mie martini tumekua na kusoma wote bweni tosamaganga ni aibu ,vijana wamepiga sana mi mwenyewe nusu nipige,tukafumwa na hp,
Makubwa haya daah. eeh mwenyezi Mungu tusaidie
 
Wakati dada zetu na bibi zetu maarufu hapa bongo Tz wakigombania wakongo na kunyang'anyana kama sukari iliyofichwa,upande wa pili kaka zetu nao hawapo nyumaa kwenye madanga ya ulaya ulaya
Inasemekana etiiiii yule modo maarufu hapa nchinii Rio kanyakuliwa danga lakeee na ......... huyu hapa pichaniiView attachment 394599
Danga lenyewe la ulaya ulaya hili hapaaa likiwa na mnyakuaji wa kimataifaView attachment 394601
Sasa Rio huko ulipo pole utapata danga lingine hata mkongo tu chukua maana nyie nao mshashindikana mtakuja kutuibia hadi waume zetu ila ndio hivyo wanaume wa Daslam ndio mambo yenu hayooo,tumuombee Rio apone na maumivu makalii cc warumiView attachment 394602

We nae uko mmbea kweli...
 
Hao wapuuzi ndio wanafanya watu wawe na mtazamo wa kufikiri kila mbunifu wa mavazi na wanamitindo wa kiume ni mashoga mbona wenzao wakina Martini kadinda na Sheria Ngowi hawana skendo za kijinga hivyo na wanafanya kazi kimataifa mbaka wamekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzao!
Martin Kadinda [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] sijui Sheria Ngowi
 
Haya mambo ni kumuomba Mungu sana kwani wakati mwingine mtu usiyemdhania kabisa ndo unakuta yumo na wengine wana familia na watoto. Mimi nakubali ni mdhambi sana lakini kama kuna dhambi ambayo siitegemei kuitenda hapa duniani ni hii ya kumlala mwanaume mwenzangu. Hata sijui unaanzaje masikini!

mtu aliyekuwa anajitapa kutembea na huyo mdosi kibonge ni mtu mkubwa na mwenye hadhi katika jamii hata ukimuona kwenye runinga huwezi amini. Ni unafiki wa hali ya juu!

Ugonjwa wangu mimi majimama tena yaliyofungashia. Hata wewe kama umefungashia Sema nikuPM tuone itakavyokuwa!
hahaha msg imefika majimama wakuchek ...mbinu ya kistyle ya fikisha ka msg
 
Back
Top Bottom