Rio aporwa bwana na rafiki yake

Rio aporwa bwana na rafiki yake

Hahaaa mwambie huyo mtoa post aingie chimbo kidogo kuhusu hao wote aliowataja atarudi na mafaili ya kutosha, kuwa mwanamitindo wa kimataifa hakumaanishi Yuko salama, mbona Rio pamoja na yote alichaguliwa kuwa mbunge wa bunge la vijana E.A
Duh kwa hyo chk anatuwakilisha

Ova
 
Noel baada ya kumpima huko Mndukuni katulia Sasa
 
Hao wapuuzi ndio wanafanya watu wawe na mtazamo wa kufikiri kila mbunifu wa mavazi na wanamitindo wa kiume ni mashoga mbona wenzao wakina Martini kadinda na Sheria Ngowi hawana skendo za kijinga hivyo na wanafanya kazi kimataifa mbaka wamekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii comment itoe sahivi tena,
 
Acha Mama Mungu abariki sana vizazi vyetu uyo rio kwao wanahela hatar baba ake alivyojua ni shoga alimtolea bastola ndo kukimbia kwao kimoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machoziii, kumbe kweli ila yeye alikataa.
 
kuna machoko, mashoga na wadhalilishaji!!
machoko ndo kina kaoge, wakina mtoto wa mama..
mashoga/gays ndo hawa kina rio ni watu wako smart ila wana muonekano wa kutia shaka.. ila hawajadhihirisha
na huwakuti wanaranda hovyo hovyo...
wanakua na shuguli muhimu, hawajichetui hovyo..
lakini watu wanajua ni gays (wakina davito)

afu kuna wadhalikishaji hawa sasa ni wanaume kabisa wana midevu ,wameenda gym wana miili ya uwanaume
lakini wanakazwa( hawa ndo wananichefua kuliko wote) na ndio wanasababisha saivi njemba tuziogope.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zanguuu mie, uwiiiiiiih
 
Hao wapuuzi ndio wanafanya watu wawe na mtazamo wa kufikiri kila mbunifu wa mavazi na wanamitindo wa kiume ni mashoga mbona wenzao wakina Martini kadinda na Sheria Ngowi hawana skendo za kijinga hivyo na wanafanya kazi kimataifa mbaka wamekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzao!

"Mjinga utabaki unashangaa kumuona martin Kadinda" - Fid Q.
 
Back
Top Bottom