Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ila uchawa kazi jamaniii! sasa ilo jembe la ulaya limelima mashamba mangapi huko ulaya?
Bado tutaona mengi
==========
Wachezaji wa zamani wa soka wa Tanzania na wa kimataifa wamekabidhi jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa mchezaji wa zamani na nahodha wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand.
Baadhi ya wachezaji waliohusika katika tukio hilo ni Mrisho Ngasa, Ally Mayai, Lubigisa Madata, Dua Said na Ibrahim Masoud "Maestro".
Soma Pia: Baada ya Drogba, Makonda amualika Nahodha zamani wa Manchester United Rio Ferdinand kuja Tanzania
Wachezaji hao wa zamani wamekabidhi jezi hiyo leo Mei 20, 2026 katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa ziara ya mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.