so what, kwa mfno?Rio Frednand haja post taarifa yoyote kuhusu ziara yake nchini
Katika kufanya doria mitandaoni nimegundua Gen Z hawazuiliki,
Wamevamia page yake na kuandika Yale matukio ya mo29 n. K
Ni kama Gen Z kutunza Siri sio mambo Yao
Gen Z wanajiamria mambo katika Taifa hili
[View attachment 3591290View attachment 3591291
Rio Frednand haja post taarifa yoyote kuhusu ziara yake nchini
Katika kufanya doria mitandaoni nimegundua Gen Z hawazuiliki,
Wamevamia page yake na kuandika Yale matukio ya mo29 n. K
Ni kama Gen Z kutunza Siri sio mambo Yao
Gen Z wanajiamria mambo katika Taifa hili
[View attachment 3591290View attachment 3591291
DuuhNi kubaya kwasasa
Hatari na nusuKazi kwelikweli
Hatari na nusu
Jamaa anasukuma mpaka ushuzi!!! Halafu yupo ndami ya gari af gari imekewa mijiwe mbele na nyuma