Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama
Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia
Nimeona malalamiko ya viongozi wa Yanga wakilalamikia hilo.
Ninakiri kwamba viongozi wa Yanga sio watu smart vichwani kuanzia uongozi wa juu mpaka wasemaji wao.
Pamoja na kutokuwa smart lakini wakati mwingine wajitahidi kuficha upumbavu wao.
Kuna ubaya gani goli hilo kufanyiwa promotion ili ikitokea likawa goli bora ikawa ni mafanikio kutangaza soka letu?