Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

St. Leo Bolt kafuzu fainali za mita 200 kesho.

Ila nimeupenda ushindani wa Bolt na De Grasse hapo mwishoni.

Bolt is having too much fun!

 
Wow...Gatlin kashindwa kufuzu kwa kumuiga Bolt na kuleta uzembe!

Hatakuwepo kwenye fainali za mita 200 hapo kesho!

 
Napenda sana riadha za wadada.

Miili yao huwa ni mizuri.

Wanatamanisha.

Elaine Thompson...😛.
 
Nimecheka sana... haya mambo ya kuiga mwishoe ni kupasuka msamba. .. Labda anaweza kuingia final ya tiketi ya best loser. .
 
Nimecheka sana... haya mambo ya kuiga mwishoe ni kupasuka msamba. .. Labda anaweza kuingia final ya tiketi ya best loser. .. tusubiri heat ya 3

Alikuwa anaongoza vizuri tu.

Kaleta mbwembwe..matokeo yake hatakuwepo kwenye fainali.
 
daah watz wametia huruma..wamepita kama wanakimbizwa huku wamenuna, wakati nchi nyingine walikuwa wanapita huku wakicheza kwa furaha
Tuna safari ndefu
 
Matokeo ya mita 200 W
  • Elaine Thompson JAM
  • Dafine Schippers NED
  • Tori Bowie USA
 
Jamaica has officially taken over sprinting.

They've dominated it for 3 straight Olympics.

I'm curious to know who will succeed Bolt as there is no clear heir apparent [Gatlin is old by sprinting standards].
 
Dah...USA haijashinda hata dhahabu moja kwenye riadha.

Labda kwenye hizi fainali za mita 100 kuruka vihunzi kwa wadada mmoja wao anaweza kutoa kimasomaso.
 
USA takes gold, silver, and bronze in the women's 100m hurdle finals.

A sweep!

USA baby .
 
Kuruka chini Wanawake kuna mshindi mpya
  1. Tianna Bartoletta USA - 7.17M
  2. Brittney Reese USA - 7.15M
  3. Ivana Spanovic SRC - 7.08M
 
seems siasa bado zinawabeba wamarekani, nimejaribu kuangalia medali zote na medali za kuogelea hapa

msimamo wa medali


msimamo wa medali za kuogelea


hivyo ukiangalia hapo medali 16 kati ya 30 za dhahabu za marekani zimetokana na kuogelea, hio ni zaidi ya asilimia 50. ukitoa medali za kuogelea wote china na uingereza wapo juu ya marekani kwenye michezo mingine.

pia ukichunguza michezo ya kuogelea historia yake ni toka kipindi cha cold war, iliekwa mingi ili marekani ampite urusi, kuna events nyingi sana za kuogelea, mfano hizi ni events za mita 100 kuogelea
-breaststroke
-backstroke
-freestyle
-freestyle relay
-medley relay
-butterfly

events hizo hizo utazikuta mita 50, 200, 400 na kuendelea kwa wanawake na wanaume.

michezo ambayo marekani si sana kupata medali nyingi hukuti events nyingi, mfano kukimbia. kama sijakosea kumbia kupo kwa kawaida, kupokezana vijiti na kuruka viunzi. inabidi na sisi Africa tupige kelele ili tuekewe michezo yetu tunayoiweza kama kukimbia na mguu mmoja, mbio za kuvaa magunia, mbio za kueka yai juu ya kijiko na kukimbia hali ya kuwa kijiko kipo mdomoni etc.
 

Duh!

Hii yako ni kali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…