Hatuwezi kuwa na hamasa maana hata Chanel moja tu ya kuonesha hiyo michezo haipo wote wanaonesha katuni tamthiliya mziki na waziri akipita kukagua mitaro hamasa itoke wapiiii?tz ni shida sana.Yaani majirani zetu wa Kenya wamenda wengi wako 80 Wa TZ wako saba tu .
Duh mpaka aibu kwakweli yaani hatuthamini michezo kabisa yaani.
Hata Refugee Olympic Athletes wametushinda wako 10 .
Yaani majirani zetu wa Kenya wamenda wengi wako 80 Wa TZ wako saba tu .
Duh mpaka aibu kwakweli yaani hatuthamini michezo kabisa yaani.
Hata Refugee Olympic Athletes wametushinda wako 10 .
Rugby? Ulikulia Australia!mwe nimefurahi sana kuona "Refugee team" kwenye olympic.
Nitakuwa nawafuatilia. Hivi wa TZ wanacheza michezo gani kwenye Olympic?
Na pia nasubiri kwa hamu kuangalia Rugby sevens.
Asante kwa kufungua thread BAK.
Ulimwona yule jamaa wa Tonga?Na mi-jacket ya baridi au mvua sijui, si wangevaa basi kama wamasai au wahehe au wapemba au ...au...au....nk. nk.
Shukrani sana afrodenzi. Nimeshangaa sana hata Burundi pamoja na matatizo yao yote ya machafuko ndani ya nchi na kutokuwa na rasilimali nyingi kama Tanzania wamepeleka wanariadha 10 na population yao ni 10 million, sisi wenye polupation ya 49 million na rasilimali chungu nzima walionyesha tumepekeleka wanariadha 7 tu. Kama sikosei idadi ya wanariadha wetu walioenda Rio tumewazidi Somalia kwa wanariadha wawili au watatu hata Somalia jamani!!!! Duh!!!! Kweli nchi hii michezo haipewi kipaumbele kabisa. Najua wewe mpenda Rugby huu mchezo nimejaribu kuufahamu lakini umenipiga chenga. Ukanifunga kamba kwamba utanipa tuition ya nguvu ili niufahamu lakini hadi hii leo bado sijaujua lol!
Yaani jamaa anatrend mitandaoni saizi. Akina dada ndo wako hoi kabisa wakisaka jina lakeHalafu kumbe nchi nyingi sana kule Ulaya zina watu wachache sana, nyingi zikiwa chini ya milioni 15. Kuna nchi zina watu elfu sabini! Yule jamaa liyebeba bendera ya visiwa vya Tonga alinogesha ufunguzi sana.
Flagbearer Michael Phelps and Ibtihaj Muhammad lead out the US
Unajua kuna maafisa wangapi waliowasindikiza hao wanariadha saba?
Sijui Mkuu Kichuguu safari hii waliamua kuonyesha population ya kila nchi, wanariadha wangapi iliowaleta na medals ngapi ilipata 2012. Channels mbili tofauti moja ilionyesha population ya Tanzania ni 48.9 million na nyingine 51.1 million na wanariadha watakaoshiri ni 7.
Hapana napenda tu rugby na ninafuatilia kwa I karibu . Ni Kama vile Mtanzania anae shabikia Man U .Rugby? Ulikulia Australia!