Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

Mpaka sasa nawaona wasichana wa kifaransa wakitoa presha kubwa sana kwa Wamerakani. Huwa nawaaminia sana wasichana wa kimarekani kwenye mpira wa miguu ila nadhani mpaka sasa hivi wamekutana fupa lililomshinda fisi.
 
Nadhani wasichana wa kimarekani hawatawasahau wafaransa kwenye mpira wa miguu kwani ingawa wameshinda, walikuwa under pressure sana kuliko katika mechi zote nilizowahi kuwaona wakicheza.
 
Team Tanzania vipi, hakuna mwenye update yoyote.
 
dah! wachina wasichana wamefanya kweli dhidi ya Afrika ya kusini kipindi cha kwanza mpira wa miguu. Ngoja tusubiri kipindi cha pili sasa.
 
Afrika ya kusini inafanya makosa mengi sana ya kukatisha tamaa! Ila Goalie wa SA yuko fit sana.
 
..... Aah! basi tena, wachina wameshinda sasa kwa hii long distance kick waliyopata!
 
Team USA imewaonea sana wachina kwenye basketball wanaume. Waliwafanya wachina waonekane kama kindergarten wanaocheza dhidi ya high school!
 
Mi nipo naangalia tennis wanawake first round, yaani Venus Williams anasumbuliwa na huyu msicha seti ya tatu hii na huenda akatolewa.
 
Venus kashazeeka huyu, hii seti ya tatu alikuwa anaongoza game 4 kwa 1. Lakini sasa wanacheza Tie-Break. SMH
 
Venus anapigwa hii Tie-Break. Na hii ndio Olympic yake mwisho. She's killing me
 
Venus hizi backshot za kuchukua point anapoteza vibaya vibaya.
 
Kashapigwa Tie-Break 5 kwa 2
 
Venus Williams katolewa first round kama ilivyokuwa Wimbledon. Game ilikuwa yake hii, sema umri unamtupa mkono. Bora atundike tu racket atafute bwana wazae watoto. Maana inaumiza sana kuona Legend anapigwa na hivi visichana kila siku
 
Mi nimemaliza kuangalia Soccer Colombia VS New Zealand wanawake ambapo NZ wameshinda 1-0.
Na Pia nimeangalia gymnast ambapo kuna Huyu mfaransa ameumia vibaya Sana
rench gymnast Samir Ait Said was carried away on a stretcher after breaking his leg when landing a vault move at the Rio Olympics.

 
SWIMMING.
men's 400 m individual medley
Japan gold medal
Wapili USA silver medal
bronze medal Japan.
Naona wa Japan wamekuja na gia zote trip hii.

men's 400 m freestyle final.
Australia -Gold
China-Silver
Italy-bronze

women's 400 m Individual medley
Hungary- Gold (New world record 4.26.36)


men's 100 m breaststroke.
Japan
Usa
Brazil.

women's 4 times 400'm freestyle relay
Australia ( New world record 3.30.65)
USA
Canada
 
Naskia alioa kabisa
 
Nami natamani kuujua aisee
 
Nami natamani kuujua ule mchezo uchezwa vipi
 
Very scary to watch this.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…