Nchi zilizotuma wachezaji zaidi ya mia tatu.Inaashiria pia kuwa wako serious sana na hii sector na wanajua maana ya kuwa super power.
Hapana napenda tu rugby na ninafuatilia kwa I karibu . Ni Kama vile Mtanzania anae shabikia Man U .
Anyway nimefurahi mno kuona Hurricanes wameshinda super rugby final last night wamewashinda Lions kutoka RSA. Ooohhh by the the way OZ hatasio wazuri kivile ikija kwenye rugby union . Wenyewe ni wazuri kwenye rugby league. Sevens ambao ndio wako kwenye Olympic Hilo Taji nawapa Fiji . Nasubiri kwa hamu kuangalia sevens .
Niliishi Australia na New Zealand kwa muda kidogo miaka ya tisini. Timu za Rugby na Cricket za Australia zilikuwa na ahadi kuwa hazijali kufungwa na timu nyingine yoyote ile hazitaki zifungwe New Zealand. Statement yao ilikuwa hivi " We don't care whether we win or lose as long as beat New Zealand !"Hapana napenda tu rugby na ninafuatilia kwa I karibu . Ni Kama vile Mtanzania anae shabikia Man U .
Anyway nimefurahi mno kuona Hurricanes wameshinda super rugby final last night wamewashinda Lions kutoka RSA. Ooohhh by the the way OZ hatasio wazuri kivile ikija kwenye rugby union . Wenyewe ni wazuri kwenye rugby league. Sevens ambao ndio wako kwenye Olympic Hilo Taji nawapa Fiji . Nasubiri kwa hamu kuangalia sevens .
Hivi wanawake wanamicgezo hua wanaolewa.?
Kivipi na kwanini.?Kwao kuolewa sio lazima waolewe na wanaume
Kivipi na kwanini.?