afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Nchi zilizotuma wachezaji zaidi ya mia tatu.Inaashiria pia kuwa wako serious sana na hii sector na wanajua maana ya kuwa super power.
USA-553
Brazil-469
Germany-425
China-400
France-399
UK-372
Japan-340
China-314
Italy-309
Spain-307
Hizi nchi iwe isiwe lazima waondoke na medals.
Huwezi kulinganisha na nchi Kama TZ.
Wana wachezaji kila sector.