Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhahahahahahahah lolNiliishi Australia na New Zealand kwa muda kidogo miaka ya tisini. Timu za Rugby na Cricket za Australia zilikuwa na ahadi kuwa hazijali kufungwa na timu nyingine yoyote ile hazitaki zifungwe New Zealand. Statement yao ilikuwa hivi " We don't care whether we win or lose as long as beat New Zealand !"
Sasa wamefurahi kuwa hata kwenye rugby sevens wamefanya hivyo ingawa uliwadharau.
![]()
Mimi wala hata siko huko mkuu. Nilivutiwa sana na team hii ndio maana nikaanza kuwafuatiia.Bila shaka upo watokako the famous "All Blacks"... 😀.
Mimi ni #TeamKenya damu kwenye 7's, ila nadhani Great Britain watatwaa gold.
Wengi wameolewa na wanawatoto.Hivi wanawake wanamicgezo hua wanaolewa.?
Mimi wala hata siko huko mkuu. Nilivutiwa sana na team hii ndio maana nikaanza kuwafuatiia.
Ni kama vile m TZ yeyote anaeshabikia team za mpira wa miguu kama Man U. etc.
Group C
![]()
Great Britain wana point 21
![]()
Japan wana point 19
![]()
New Zealand wana point 28
![]()
Kenya wana point 5
kwa haraka haraka ukiangalia Kenya hawatafika hata Quarterfinal.
Jana kidogo nipate mshtuko wa moyo Japan walipo washinda NZ kwenye
pool match. 😵😵. Na NZ wamempoteza Sonny Bill Williams. Kwa hiyo NZ
team wamempoteza mcheza muhimu sana.😡😡
Usiache kuangalia GB Vs NZ
na Kenya Vs Japan.
NZ wakipoteza hii match na wao hawataenda Quarterfinal na mimi naacha kuangalia sevens
kuanzia leo.😀😀😀. Bora nibaki na Union pamoja na rugby league. matatizo ya moyo sitaki.😳.
Tutashindana lakini hatutashinda.....Mtanzania kushinda marathon