Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

3500.jpg

Serena Williams casts a dejected figure as she slumps to a 6-4 6-3 defeat against Elina Svitolina.
 
4632.jpg

Lauren Hernandez, Madison Kocian, Simone Biles, Alexandra Raisman and Gabrielle Douglas of the United States celebrate winning gold.
 
Nimeona alikuwa anaweka mkwara mzito kumbe hana lolote hata Bronze hakuambulia.

Yule Msouth hoi....jana alikuwa anajaribu kumtisha Michael Phelps [emoji3] .

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Phelps kashindikana. Sasa atastaafu kweli.

"U ain't nowhere near Tyson, Jackson, Jordan, Michael Phelps" Kanye West
 
Phelps utafkiri alkua anakimbia nch kavu, jamaa anapumzi laaana.
 
Hivi tz hatuez watrain wamasai wajarushe mkuki aisee...
 
Niliishi Australia na New Zealand kwa muda kidogo miaka ya tisini. Timu za Rugby na Cricket za Australia zilikuwa na ahadi kuwa hazijali kufungwa na timu nyingine yoyote ile hazitaki zifungwe New Zealand. Statement yao ilikuwa hivi " We don't care whether we win or lose as long as beat New Zealand !"

Sasa wamefurahi kuwa hata kwenye rugby sevens wamefanya hivyo ingawa uliwadharau.

2016%2F08%2F09%2F1e%2F01c7951362b043b4a5fc6ea6c642e1ea.c07eb.jpg
hhahahahahahahah lol
Nimeusikia sana huo usemi.
Kwa kweli sikuliona hili ilibaki kidogo nilie. Niwape hongera OZ ilikuwa game ngumu na wanastahili pongezi.
1470715644195.jpg
 
Bila shaka upo watokako the famous "All Blacks"... 😀.
Mimi ni #TeamKenya damu kwenye 7's, ila nadhani Great Britain watatwaa gold.
Mimi wala hata siko huko mkuu. Nilivutiwa sana na team hii ndio maana nikaanza kuwafuatiia.
Ni kama vile m TZ yeyote anaeshabikia team za mpira wa miguu kama Man U. etc.

Group C
6HRpt1RF_AbDUftxgVUoEw_48x48.png

Great Britain wana point 21
by4OltvtZz7taxuQtkiP3A_48x48.png

Japan wana point 19
vLzv_L6wZJ4ygGlIJLUc1A_48x48.png

New Zealand wana point 28
qNdn2A-NP605UMyeKE5S4A_48x48.png

Kenya wana point 5

kwa haraka haraka ukiangalia Kenya hawatafika hata Quarterfinal.
Jana kidogo nipate mshtuko wa moyo Japan walipo washinda NZ kwenye
pool match. 😵😵. Na NZ wamempoteza Sonny Bill Williams. Kwa hiyo NZ
team wamempoteza mcheza muhimu sana.😡😡
Usiache kuangalia GB Vs NZ
na Kenya Vs Japan.

NZ wakipoteza hii match na wao hawataenda Quarterfinal na mimi naacha kuangalia sevens
kuanzia leo.😀😀😀. Bora nibaki na Union pamoja na rugby league. matatizo ya moyo sitaki.😳.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tamaduni zetu zilivyotofauti.
Ila michezo tu ndicho kinacho tuleta pamoja.
Tanzania inanipa huzuni sana kuona haipi kipaumbele michezo.

36FBD12C00000578-0-image-a-1_1470641618986.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Picha nyingine ambayo ni historical.
Ambayo hutakaa uione mahali popote pale, bali kwenye michezo ni hii Lee Eun-ju wa South Korea na Hong Un-jong wa North Korea took a quick smiling snapshot during the training period before the start of the Games.
Michezo ni kushindana muda mwingi nikuleta watu pamoja. Ingawa kuna migogoro mingi kati ya nchi na nchi
Ikija kwenye michezo watu wanasimama pamoja bila kujali dini, kabila, rangi ya mtu, gender, mavazi au kitu chochote kila ambacho hutenganisha watu. Na hii ndio sababu kubwa inayonivitia sana kuhusu michezo.

_90720041_hi034380182.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Katika watu ambao nilikuwa nategemea watachukua Gold ni huyu dada Serena Williams.
Hii ndio raha na Karaha ya Olympic unaedhania ndie sie. Bado ni number moja kwenye list
yangu ya wachezaji bora duniani.
serena_rd1_1920x1080_aptopix-rio-olympics-_webf.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi wala hata siko huko mkuu. Nilivutiwa sana na team hii ndio maana nikaanza kuwafuatiia.
Ni kama vile m TZ yeyote anaeshabikia team za mpira wa miguu kama Man U. etc.

Group C
6HRpt1RF_AbDUftxgVUoEw_48x48.png

Great Britain wana point 21
by4OltvtZz7taxuQtkiP3A_48x48.png

Japan wana point 19
vLzv_L6wZJ4ygGlIJLUc1A_48x48.png

New Zealand wana point 28
qNdn2A-NP605UMyeKE5S4A_48x48.png

Kenya wana point 5

kwa haraka haraka ukiangalia Kenya hawatafika hata Quarterfinal.
Jana kidogo nipate mshtuko wa moyo Japan walipo washinda NZ kwenye
pool match. 😵😵. Na NZ wamempoteza Sonny Bill Williams. Kwa hiyo NZ
team wamempoteza mcheza muhimu sana.😡😡
Usiache kuangalia GB Vs NZ
na Kenya Vs Japan.

NZ wakipoteza hii match na wao hawataenda Quarterfinal na mimi naacha kuangalia sevens
kuanzia leo.😀😀😀. Bora nibaki na Union pamoja na rugby league. matatizo ya moyo sitaki.😳.

Haha. NZ wana kibarua kigumu. Hapo kwa GB vs NZ ni mechi kweli.
Kenya bado ina nafasi ya kufika QF kama best 3rd team, inahitaji tu kuishinda Japan baadaye leo (Point awards system ya 7's kwenye olympics naona inatofautiana kidogo na world series).
Halafu pia leo kuna mechia ya Arg vs Bra. Brazil hawako vizuri kwenye rugby lakini na wao pia wanaishi na ile mantra ya "anyone but Argentina..." 😀😀
 
Back
Top Bottom