Rio Olympics: Kenya's medal Count

Them Arabs are stealing Our Athletes..UHURU should do something about it

Hela wanazoitiwa kule aisei hawatazipata kwetu zaidi ya uzalendo tu, hii sidhani kama hata kuna haja ya kulifanyia kazi. Cha msingi ni kwamba wakienda hao, tunaibua wengine, inakua kama njia moja ya vijana kujitoa kwenye umaskini. Lakini wanalazimika kubadili hadi dini, hapo noma bana....
 
Bolt anakimbia saa ngapi
Google wamenizuia kuwauliza maswali baada ya ku search "kwa nini magufuli anawachukia wapinzani wa tanzania na kuwakumbatia wapinzani wa kenya"

Hongeren kwa gold ya shingoni east africa hoyeeeeee

Hehehe!! Jamani nimecheka sana, hivi haujui mke wa jirani ni mtamu, sasa Magufuli akikumbatia upinzani wa Kenya na kuwabana wale Tanzania ina maana kwamba.....
 
Shukrani Mkuu inabidi iwe hivyo haina sababu ya kuchukiana, kuhitilafiana kwa wanadamu ni jambo la kawaida sana hata identical twins wanahitilafiana lakini si sababu ya kujenga chuki kianzi cha kujenga uhasama na kurushiana matusi mitandaoni na kwingineko. Hata mimi nimekutana na Wakenya ambao wanatia moyo sana kwa kuwa majirani wema Mkuu. By the way nilikuwa namshangilia Mkenya ashinde na siyo yule Mkenya aliyebadili uraia sasa amekuwa Mbahrain.

Asante tumepokea hizo hongera, kweli tukikosea una haki ya kutukosoa, tukiumia unatupa pole, tukifanya vyema jameni tupongeze. Asante sana jirani mwema, baadhi yenu huwa mnatia moyo sana.
 
Them Arabs are stealing Our Athletes..UHURU should do something about it
Sisemi napenda pesa lakini as long as zile pesa wanalipwa wanazituma Kenya ili kusaidia jamii, kidesign kuna vile its good for business.
 
Wakenya, waethiopia, wameghra, Tanzania tunachakujifunza, aisee kila kitu tuko ka mkia tu. Mashindano hayo hutangaza pia nchi aisee. Hongereni Kenya, Ethiopia kwa Africa mashariki.
 
Sisemi napenda pesa lakini as long as zile pesa wanalipwa wanazituma Kenya ili kusaidia jamii, kidesign kuna vile its good for business.
Wale Wakenya wanaokuwa raia wa nchi za Mashariki ya Kati ni kwa karatasi tu..wote waishi Kenya na mazoezi yao wayafanyia ITEN..Hata pesa zao
 
Kwa kweli Kenya iko vizuri kwenye riadha. Pamoja na hayo Kenya iko mbele kwa maendeleo, nimejionea mwenyewe , hasa viwannda, barabara na mashamba
 
Hehehe!! Jamani nimecheka sana, hivi haujui mke wa jirani ni mtamu, sasa Magufuli akikumbatia upinzani wa Kenya na kuwabana wale Tanzania ina maana kwamba.....
Malizia maneno jirani, (kwa sauti ya "Mujuba")
 
Hehehe!! Jamani nimecheka sana, hivi haujui mke wa jirani ni mtamu, sasa Magufuli akikumbatia upinzani wa Kenya na kuwabana wale Tanzania ina maana kwamba.....
Malizia maneno jirani, (kwa sauti ya "Mujuba")
 
 
Mkuu hata kiswahili chako kizuri ..kweli mmetusua ..me nawakubali tupeane michongo basi achana na figisufigisu za kisister du
 

sasa unavyoongea hivyo kweli si wewe ndio nyangau,si lazima utusi watu ili ueleweke kaka
 
Hehehe, waltham,
Hiki kingereza kidogo chanitosha kabisa, naweza Fanya conversation na yoyote tukaelewana, unataka nijue kingi cha kazi gani?
najivunia kiswahili nakijua vizuri mno maana hii ndio lugha ninayotumia kwa zaidi ya 98% katika shughuli zangu za kila siku,

hii kingereza ilikuja na meli iliyokuja na mkoloni alipoamua kumtawala babu yangu akamwambia lugha yake ya kibantu ni mbaya hivyo ajifunze lugha nzuri (Kiingereza) ambacho wewe ndio umebaki na hangover ya ukoloni hadi Leo..
Nawapongeza wakenya kwa uthubutu, mmemshiriki michezo mingi japo medals zote zinakuja kwenye mchezo mmoja,
Riadha.. Kenyans + ethiopians + Jamaicans are good at that..(very Good) japo kwa michezo mingine bado sana.. tuendelee kujitahidi.,
ila pia nawapongeza watz, wameenda watu 7 tu lakini si haba, siku tukipeleka wengi kama Kenya tutarudi na Kikubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…