Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,223
Congratulations Kenyans and the East AfricaThis is the update thread of our medal count in Rio.
Gold - 1
Silver - 2
Bronze - 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congratulations Kenyans and the East AfricaThis is the update thread of our medal count in Rio.
Gold - 1
Silver - 2
Bronze - 0
I wonder watanzania hupewa elimu ipi shuleni.... They use alot of future tense... Siku tutajenga Reli,Siku tutajenga Bagamoyo,.... Sasa hapa nisiku mtaenda wengi.... When will you lazy guys ever start anything.Hehehe, waltham,
Hiki kingereza kidogo chanitosha kabisa, naweza Fanya conversation na yoyote tukaelewana, unataka nijue kingi cha kazi gani?
najivunia kiswahili nakijua vizuri mno maana hii ndio lugha ninayotumia kwa zaidi ya 98% katika shughuli zangu za kila siku,
hii kingereza ilikuja na meli iliyokuja na mkoloni alipoamua kumtawala babu yangu akamwambia lugha yake ya kibantu ni mbaya hivyo ajifunze lugha nzuri (Kiingereza) ambacho wewe ndio umebaki na hangover ya ukoloni hadi Leo..
Nawapongeza wakenya kwa uthubutu, mmemshiriki michezo mingi japo medals zote zinakuja kwenye mchezo mmoja,
Riadha.. Kenyans + ethiopians + Jamaicans are good at that..(very Good) japo kwa michezo mingine bado sana.. tuendelee kujitahidi.,
ila pia nawapongeza watz, wameenda watu 7 tu lakini si haba, siku tukipeleka wengi kama Kenya tutarudi na Kikubwa zaidi.
This is the update thread of our medal count in Rio.
Gold - 1
Silver - 3
Bronze - 0
..Tanzania na sisi tuchukue wanariadha toka -Kenya.
..wanariadha wa Tanzania ni WAZEE na wako too SLOW kuweza kushinda popote pale.
..kwa mfano, Sara Ramadhani Mtanzania aliyekimbia marathon za wanawake ni mzee kuliko wanariadha wa Kenya na Ethiopia.
..vilevile her best time ni more than 20 minutes slower compared to the best time by Kenyan and Ethiopian athletes.
..we sent our athletes to Rio while we are almost sure that they wont bring the country any medals
Cc MK254, Kafrican, BAK, bagamoyo
Mkuu,
Naamini tuna wanariadha kibao wazuri raia na wanajeshi pia. Ila matayarisho wanafanya sehemu zisizofaa mfano Dsm, Kibaha au Pwani. Wanatakiwa kufanya mazoezi ya muda mrefu na mashindano katika altitude za juu kama kule Hanang', Mbulu, Kitulo Mbeya (Ambapo hakuna mbu wa malaria/hewa nyepesi/ oxygen nyingi) n.k maeneo yanayofanana na nyanda za juu za huko Kenya au Ethiopia.
..Tanzania na sisi tuchukue wanariadha toka -Kenya.
..wanariadha wa Tanzania ni WAZEE na wako too SLOW kuweza kushinda popote pale.
..kwa mfano, Sara Ramadhani Mtanzania aliyekimbia marathon za wanawake ni mzee kuliko wanariadha wa Kenya na Ethiopia.
..vilevile her best time ni more than 20 minutes slower compared to the best time by Kenyan and Ethiopian athletes.
..we sent our athletes to Rio while we are almost sure that they wont bring the country any medals
Cc MK254, Kafrican, BAK, bagamoyo
Kama kawaida yenu manyang'au, mmepeleka tabia zenu za hovyo huko Rio, but this time wamewastukia, aibu tupu..
Nyang'au will always be nyang'au, hata akizeeka kichwani busara na hekima ni sifuri (Big zero)
Hizo tabia huku huwa wanafanya watoto wa std 4, nashangaa Kenya wazee wanafanya..
You guys is a joke.
Hahahah Easy Bro!I wonder watanzania hupewa elimu ipi shuleni.... They use alot of future tense... Siku tutajenga Reli,Siku tutajenga Bagamoyo,.... Sasa hapa nisiku mtaenda wengi.... When will you lazy guys ever start anything.
MK254,
..asante kwa majibu yako.
..miaka ya 70 wanafunzi walikuwa wanacheza mpaka boxing huku Tz.
..shule ya sekondari ya serikali niliyosoma mimi nilikuta gymnastics equipment na boxing gears lakini hazitumiki.
..ni kweli kabisa michezo haitiliwi mkazo ktk shule zetu. Watanzania walioshinda medali miaka ya 80 walikuwa ni product ya mashindano ya mashule.
NB.
..hivi hamuwezi kutuazima wanariadha wenu ambao wameshindwa ku qualify for olympics?
..una mawazo mazuri tu.
..ila naamini currently hatuna talent ambayo imeshavumbuliwa na wako tayari ku compete at highest and international level.
..hebu nenda kutafute data za Fabiano Joseph ambaye tunamtegemea kwenye marathon. Mlinganishe na wapinzani wake toka Kenya na Ethiopia, nina hakika utaelewa chimbuko la malamiko yangu.
..hilo la kupiga kambi Hanang na Mbulu limeshafanyika. Tena nakumbuka waziri Membe alipeleka wanariadha wetu wakapiga kambi Ethiopia. Walipokwenda kwenye mashindano wakarudi watupu.
..tunatakiwa tutafute vipaji kwanza. Halafu tuvijenge kama hivyo ulivyopendekeza.
Cc Manyerere Jackton, Pasco
Hadi kunakucha kesho ,Kenya jumla ya medali 6 au 7.This is the update thread of our medal count in Rio.
Gold - 1
Silver - 3
Bronze - 0
Jemima Sumgong - Women's Marathon - Gold
Vivian Cheruyiot - Women's 10000m - Silver
Paul Tanui - Men's 10000m - Silver
Hyvin Jepkemoi - Women's Steeplechase - Silver
Umecheki ''time'' nzuri za wawakilishi wetu watatu toka Tanzania walizonazo kukubalika kushiriki marathon Rio2016 hapo juu, Olimpiki hii natumai medali Tanzania tutapata kama mdau '' Dhuks '' anavyokubali kitaalamu.NAJISIKIA VIBAYA KUONA MAJIRANI WANACHUKUA MEDALI SIYE TUNARUDI WATUPU