Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Binamu hawa hawajui heading za habari za udaku eeeh??Kufika tu huko ni maajabu, achilia mbali kufika marekani, kuhudhuria mkutano wa UN kama kiongozi pekee kutoka Tz sio kitu cha sport aiseeh,hata wasomi wameshindwaaa.