No wala hawa mashoga hatuongele hayo yaliyowasibu, mmoja nilikuwa nanongea nae wiki mbili zilizopita, nikamuuliza kama likitokea lolote nani ataarifiwe, akaniambia mume wangu number yake ya simu hii hapa, usoni nilijitahidi sana kutokuonyesha mshtuko, nilianza kujifunza kuwa hawa watu nitakutana nao kila siku.Umeshawahi kukaa/kukutana na majambazi sugu au vibaka wapiga roba au wasichana wanao jiuza wakakueleza yaliyowasibu mpaka kufika huko?
Wewe mwenyewe umesema ni role model wa kina James delicious ulikuwa una maana gani?Hivi huyu Rio Paul alishatamka hadharini kabisa kuwa yeye ni gay? Au mnahisi tu kwakua ni fashion designer na pia ni nadhifu?
Aione Bhanunu ikiwa kwenye jalada.
Wewe mwenyewe umesema ni role model wa kina James delicious ulikuwa una maana gani?
Ikitokea mtoto wako ana tabia hizi utamuua? Tuwapende watoto wetu na kuwalea vizuri, kuwapa elimu lakini kuna maamuzi mengine ni ngumu kuyadhibiti.
Rafiki yangu wa karibu sana mwanaume mtoto wake mmoja tu wa kiume ni shoga, hawajaonana kwa zaidi ya miaka kumi tangu agundue. Nilikaa nae nikamueleza ninajua unaumia lakini mwisho wa siku ni mwili wake ndio amependa utumike hivyo, hii haibadilishi uhalisia kuwa wewe ndiye baba yake.
a m e e nKuliko kuwa na mtoto wa hivi heri Mungu aninyime uzazi, miezi tisa ya shurba na siku ya fainali roho mkononi, unamlea mtoto wa kiume kwa shida afu aje kuwa mke wa watu.... Mungu niepushie inauma kama wewe ni mama huwezi kufurahia huu upumbavu labda uwe sijui mgumba
kwani wanahaki ya kufanywa kama nyie wanawake?Wanakuwa heart broken kama relationship nyingine zozote, tena mbaya zaidi wao kupata mwenza mwingine ngumu sio kama heterosexuals.
unawasapoti sana hawa viumbeNilisema ninafurahi?
jibu swali wacha kuruka mada BTW huku kwetu bangi ni mboga kama mboga nyingine za majaniKwani Mungu alipokupa mdomo aliruhusu uvute bangi?
dah! na wewe unafurahi sana jamaa anapokuhadithia akikunjwa kunako 6x6 ? hupati hofu muogope mungu sana haya yote ni machukizo achana na iyo kazi mungu atakuongoza uko kwenye mkosiKwa nature ya kazi yangu, nikiwabagua hawa viumbe nimekosa kibarua.
Hayo wanayajua wao na wazazi wao, mmoja nilifanya nae kazi, bwana ake alikuwa milionea, basi jamaa mara anachukua likizo miezi mitatu bila malipo wanakwenda cruise holiday. Nilimuuliza unafanya kazi ili? Akanijibu atakuwa board nyumbani other wise, kwahiyo hubby akiwa na business zake yeye anakuja ofisini.dah! na wewe unafurahi sana jamaa anapokuhadithia akikunjwa kunako 6x6 ? hupati hofu muogope mungu sana haya yote ni machukizo achana na iyo kazi mungu atakuongoza uko kwenye mkosi
Siku ndugu zako wa kiume ukiwakuta wanafanya tabia hizo ndo utajua kama ni kweli maamuzi yake hayaingiliani na maisha yako, ila ukitumia akili utajua how yanaingiliana sema ndo women weakness hisia ndo muhimu kwao huku mbele giza they don't give a damn what will happen next na yakishatokea wahanga wakubwa ni nyinyi nyinyi women, muache kuwa selfish kwa kusupport upuuzi,Tukatae tukubali hawa ni binadamu na wanahaki sawa kama uliyonayo wewe ya kuishi duniani, anachokifanya ni maamuzi yake mradi yahaingiliani na maisha yangu mimi.