Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Hivi Dada utajisikia vipi endapo mwanao kijana wako wa pekee ni shoga?Ikitokea mtoto wako ana tabia hizi utamuua? Tuwapende watoto wetu na kuwalea vizuri, kuwapa elimu lakini kuna maamuzi mengine ni ngumu kuyadhibiti.
Rafiki yangu wa karibu sana mwanaume mtoto wake mmoja tu wa kiume ni shoga, hawajaonana kwa zaidi ya miaka kumi tangu agundue. Nilikaa nae nikamueleza ninajua unaumia lakini mwisho wa siku ni mwili wake ndio amependa utumike hivyo, hii haibadilishi uhalisia kuwa wewe ndiye baba yake.