Rio Paul

Rio Paul

Wakati Membe akiwa waziri wa mambo ya nchi za nje, Commonwealth countries walisema zitasitisha misaada kwa nchi za common wealth ambazo hazikubali magay, Membe alisema Tanzania hatukubali. Alikuja BBC jounalist, alifanya documentary, kuna magay wengi tu Tanzania, mmoja alihojiwa mpaka anapokaa, anaishi Magomeni, alisema wateja wake wengi ni wabunge na mawarizi tena wengi wana wake zao.
Kwa hiyo hoja yako sasa ni nini?
 
Bahati mbaya tu sitaki shari mwezi mtukufu huu, vinginevyo jibu ambalo ningekupa hapa lingetupeleka kweny vita ya tatu ya dunia.
Yaan umeongea upuuzi wenye level ya PHD, inaonyesha umekuwa mwili tu na makalio ila akili fupi kuliko maisha ya funza! Shwain wewe!!!
Umeniharibia siku.

Hahahaaaaaa pole sana mkuu anataka kukuharibia swaumu huyo.
 
Mkuu mimi huwa nashangaa sana yani,tatizo letu watu wengi hizi tunazoziita shule na maarifa tuliyoyapata toka nchi za kigeni tunaona ni bora kuliko misingi ya utu wetu.

Leo hii mtu anatetea based on kigezo cha equality and the likes. Kisa wazungu na wengine wanakubali basi na sisi tunafungwa mawazo na upeo wetu tukiamini kuwa kuyakubalo mambo haya ndiyo usasa.

Hivi kweli kabisa akipata mtoto wa kiume na akawa katika hali hiyo atajiskiaje?. Ni "msomi" labda kwa uelewa wake, lakini pia tumepewa utashi na hekima ya kujua jema na baya. Imefika mahali watu tunashindwa kukemea mabaya kwa vigezo vya haki za binadamu. Aliye umba mtu mume na mtu mke nini lilikuwa kusudi?.

Nadhani ifike mahali tuyaone haya. Ili uikemee na kuiacha dhambi yoyote kutoka moyoni ni lazima uichukie. Mungu atupe busara na utashi wa kuenenda.
Na sie weusi tukipata chance sasa ya kusoma na kukaa Na wazungu tunaiga uzungu hata wazungu wenyewe hawaoni ndani
 
Na thong pia. Tena ukimwambia unaumwa tumbo la period, atakwenda kutafuta paracetamol, atakutafutia hot water bottle, atatengeneza chai ya rangi. Wakati nyinyi mkiambiwa tumbo la period mnakwenda kuangalia mpira.

Hya bas tafuta mmja uishi nae n mzae watoto
 
Sisi kwa unafiki hatujambo. Watu wanawaponda gays wakati wanawageuza wake zao.
Ndo maana hatuendelei, tunataka huku wakati tunasema hivi, wapi na wapi.
 
Sisi kwa unafiki hatujambo. Watu wanawaponda gays wakati wanawageuza wake zao.
Ndo maana hatuendelei, tunataka huku wakati tunasema hivi, wapi na wapi.
Yap, nakubaliana na wewe.. humu wanafiki ni wengi sana tena wanatia aibu..

Utawakuta kule jukwaa la picha za uchi wakisifia tigo halafu wanakuja huku wanaandika unafiki.. wengine wameoa full michepuko... wengine hawana ndoa ila waasherati balaa..

Hizi dhambi zote zimekuwa included kwenye group moja.. "sexual immorality"

Kama hufanyi dhambi hii usifanye na ile.. na kama unaifanya ile usihukumu basi....

Tutoe maboriti katika macho yetu.. then tuhangaike na vibanza kwenye macho ya wengine.
 
Hakuna njia zaidi ya kumrudisha kwenye njia ya kumpwekesha na kumuhofia Mwenyezi Mungu, akishampwekesha na kumhofia Mwenyezi Mungu then ndo zitafuata hatua nyingine za kitabibu kama kumsafisha sehemu yake ya siri na kumpa ushauri wa kisaikolojia, pia kumuepusha na marafiki aliokuwa nao awali na na life style aliyokuwa nayo. Mimi nimeshakutana na dada mmoja ambaye mdogo wake alikuwa na hizo tabia, alikuta picha za uume na picha za wanaume wakifanya ngono kwenye simu yake, baada ya kumuhoji alikiri kufanya huo mchezo na alituelezea kwamba aliuanza baada ya kuingiliwa na mume wa mamayake mdogo aliyekuwa akiishi nae wakati akiwa bado mdogo, yule mwanaume alimuahidi vitu mbali mbali pamoja na kumpa pesa, sasa baada ya kukua akashindwa kuacha kwa kuwa mwanume anapoingiliwa huko nyuma ambako hapakuumbwa kupokea shahawa za mwanume basi hupelekea vijidudu vilivyoko kwenye shahawa ambavyo vikiingia kwenye uke wa mwanamke huwa havileti madhara kutokana na maumbile yako specific kwa ajili hiyo ila kwa mwanaume vile vijidudu hula yale manii na yakiisha huanza kutafuna ngozi ya sehemu ya siri ya huyo mwanaume ambayo imeumbwa ni laini, hiyo hupelekea yule mwanaume kupata muwasho na njia pekee ni kuingiliwa tena ili yale manii yakiingia ndio yawe chakula cha hao bacteria tena. Yule dada aliuumia sana kisaikolojia Kwani alikuta mpaka ujumbe mdogo wake akiwasiliana na wanaume na kutangaza biashara "nauza mku...", mwanzo ilikuwa ni siri yake ya peke yake na alihangaika sana mpaka kwa wanasaikolojia lakini hakufanikiwa mpaka ilipogundulika kwa familia.Tulitumia approach hiyo hapo juu na ilimsaidia sana mdogo wake.
Kama hataki kuacha?
 
sijui kwanini wanawake mnawapenda sana hao watu
Wao ndo wanawatenga wanaume wanafwata wanawake kuna kipindi nilifanya kazi bagamoyo kuuna choki lilikuwa linatufwata linafanya shuguli zote za wanawake ikiwepo mkienda bar linaingia choo cha kike roho ilikuwa yaniuma yaani bonge la handsome la kisukuma[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji36] [emoji37]
 
Luna really gay na fake or what d u mean[emoji15]
fake gays si wale wanaonekana wanatabia za kigay lakini sio magay ni bahati mbaya tu tabia zimewapitia na wenyewe wakazikubali,afu kuna wengine wanapenda wenyewe kuwa hivyo na wapo tayari kujionyesha dhahiri jinsi walivyo....sasa huyo jamaa yupo upande gani?ni tabia tu zimempitia kwa bahati mbaya lakini hapractice hizo mishe au anapenda kuwa "nigga the bitch"
 
13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao. Walawi 20:13
 
Serikali Yatoa Msimamo Wake Kuhusu Mapenzi ya Jinsi Moja ya Mashoga na Wasagaji



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Amon Mpanju amesema kuwa mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na Serikali ilishaweka msimamo wake katika hilo.

Akizungumza mapema leo katika mkutano wa wadau wa haki za binadamu uliofanyika katika hoteli ya Blue Pearl wa kujadili mapendekezo ya tathmini ya utekelezaji wa masuala ya haki za binadamu (Universal Periodic Review), Mhe. Mpanju ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo alisema mapendekezo yaliyowasilishwa Mwezi Mei mwaka huu katika mkutano wa Baraza la haki za binadamu uliofanyika Geneva, serikali ilikubali mapendekezo Mia thelathini (130) na mengine 72 iliyakataa.

“Sehemu ya mapendekezo hayo serikali iliyakataa kwa sababu kuna mengine yapo kinyume na katiba, sheria, mila na desturi zetu, kwani katika mapendekezo hayo yapo yanayotaka mapenzi ya jinsia moja jambo ambalo haliwezi kukubalika”, Mhe. Mpanju alisema

“Hivyo wakati mkijadili namna ya kupanga mikakati ya utekelezaji ili serikali ione umuhimu wa kukubali sehemu ya mapendekezo hayo naomba msijielekeze kwenye yale yaliyo kinyume na imani”, Mhe. Mpanju alisisitiza

Aidha, Mhe. Naibu Katibu huyo alisema serikali imefungua milango kwa kushirikiano na tume, wadau wa haki za binadamu wapeleke serikalini sababu zenye mantiki ili kuona ni mambo gani ambayo serikali inaweza kuyashugulikia na kuyatekeleza.

Akizungumza katika Mkutano huo, Bwana Onesmo Olengurumwa kutoka taasisi ya watetezi wa haki za binadamu (THRDC) alisema kuwa wadau wamekutana katika mkutano huo kujadili ni kwa namna gani wataishawishi serikali ili iweze kuyakubali mapendekezo yaliyobakia na kuyaweka katika utekelezaji.

Akifungua mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Iddi Mapuri alisema kuwa mkutano huo umelenga katika kuweka mikakati ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo hayo na alipongeza mchango mkubwa unaotolewa na wadau wa haki za binadamu katika kuhakikisha masuala ya haki za binadamu yanapata msukumo mkubwa hapa nchini.
 
Back
Top Bottom