Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
duh! we jamaa sijakusoma kitambo, mambo vp mkuu!Coz hawana madhara yoyote kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! we jamaa sijakusoma kitambo, mambo vp mkuu!Coz hawana madhara yoyote kwao
kwani nae mwanamume?Jamani hii si kanzu.
hilo swali muulze wewe atakujibu kama anafanywa hadharani au?Mimi ninamuangalia yeye kama binadamu, hayo mengine kwani anayafanyia hadharani?
Kwaiyo we ndio mashoga zakoUkiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
kwani shoga lazima ajitangaze? halafu sheria za nchi yetu haziruhusuHivi huyu Rio Paul alishatamka hadharini kabisa kuwa yeye ni gay? Au mnahisi tu kwakua ni fashion designer na pia ni nadhifu?
mama sikiliza na unafaham sheria za nchi na maandiko matakatifu yamekataza huo uchafu then huyo shoga ako kuna uzi wake humu amejadiliwa sana miaka ya nyuma hebu utafuteSo he is innocent unless is proved quilty.
Ukiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
Hivi ukimsifia shoga hivi, ulishawahi kuwaza mtoto wa tumbo lako akiwa hivo utamuona mzuri hivo? Utamwagia hizo sifa?Ukiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
Unajua katika maisha nimekutana na mengi, nature ya kazi ninayofanya ninakutana na hawa jamaa, nimejifunza kuwaangalia kama binadamu bila kufikiria mengine. Kuna vitu vingi vimenifanya nimebadili muangalizo wa maisha. Ninajua inauma sana kama mzazi lakini kuna vitu inabidi umuombe sana Mungu yasikutokee.Hivi ukimsifia shoga hivi, ulishawahi kuwaza mtoto wa tumbo lako akiwa hivo utamuona mzuri hivo? Utamwagia hizo sifa?
Hapo chachaHivi ukimsifia shoga hivi, ulishawahi kuwaza mtoto wa tumbo lako akiwa hivo utamuona mzuri hivo? Utamwagia hizo sifa?
Astakafurllah....Celebrity wa bongo na role model wa vijana kama James Delicious.
Unaombaje Mungu isitokee wakati unaoneka unawafurahia, kuna vitu vinaumiza asee hata kama maisha yake ila ukiwaza kama mama unaumia.....Unajua katika maisha nimekutana na mengi, nature ya kazi ninayofanya ninakutana na hawa jamaa, nimejifunza kuwaangalia kama binadamu bila kufikiria mengine. Kuna vitu vingi vimenifanya nimebadili muangalizo wa maisha. Ninajua inauma sana kama mzazi lakini kuna vitu inabidi umuombe sana Mungu yasikutokee.
Umeshawahi kukaa/kukutana na majambazi sugu au vibaka wapiga roba au wasichana wanao jiuza wakakueleza yaliyowasibu mpaka kufika huko?Unajua katika maisha nimekutana na mengi, nature ya kazi ninayofanya ninakutana na hawa jamaa, nimejifunza kuwaangalia kama binadamu bila kufikiria mengine. Kuna vitu vingi vimenifanya nimebadili muangalizo wa maisha. Ninajua inauma sana kama mzazi lakini kuna vitu inabidi umuombe sana Mungu yasikutokee.