RIP Ali Yanga leo nimekumbuka upendo wako Simba vs Yanga

RIP Ali Yanga leo nimekumbuka upendo wako Simba vs Yanga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ni shabiki maarufu wa mabingwa wa historia VPL Yanga

Alifariki hivi karibuni ukweli Ali alikuwa kivutio kikubwa mechi kama ya leo....hata mfungwe tatu anahamasisha shangilien kama ameona goli la ushindi

Walewazee wenzangu wa hamsha popo pale nje mnaeleewa namaanisha nini kusema Ali mtu wa watu

Ni shabiki pekee alikuwa akienda upande wa Simba kule nje na kucheza huku wakifurahia pande zote kwa furaha kabisaaa..aliunganisha mashabiki wote kuwa kitu kimojaa

Zamani nilikuwa natukana mashabiki snikitukanwa FB
Ali alinilekeza mpira n upendo....nikaelewa

Mungu akuweke mahali pema peponi Ali

Akupunguzie adhabu ya kaburi..aangalie rehema zake na sio makosa yako

Amiiiiin Amiiiiin Amiiiiiiin
 
Back
Top Bottom