RIP English...Tanzanians please use Swahili

RIP English...Tanzanians please use Swahili

hiyo news imetengenezwa na wakenya. Mwambie aweke link hapa.
 
Aliandika kiswahili akapeleka translate.google.com wakasaidia akanakili na kupakaza bila kuhariri
 
Watanzania wengi wana matatizo makubwa kuliko Kiswahili.

Hata Kiswahili hawajui.

Kuanzia Rais mpaka Bwege Mtozeni wa barabarani.

Msisitizo: Wengi,si wote.

Hata wewe pia Kiswahili haukijui na kiingereza pia haukijui, isitoshe ni watu low IQ tu kama wewe ndiyo hujisifia kujua jambo fulani, anayejua hasemi!
 
Utetezi hauna logic huu.

Kubali tu haya ni matokeo ya shule za kata.

Mkuu usiwe mnazi namna hii..

Hili ni kosa la kusahau tuu..maana "climbing" ni tukio mahususi la miti pia..angetakiwa aweke "planting" ambalo ni tukio mahususi la miti pia....

Alipitiwa na misplacing ya hilo neno moja tu ambayo kimantiki yanahusiana sana na miti....

Hiyo sentensi aliyotoa muhusika ni sahihi 100% sema tu haiendani na tukio halisi lilipo kwenye picha basii.....

Huyu mtu anajua kiingereza kwa ufasaha kabisa,tatizo sentensi aliyoandika haiendani na tukio la pichani...

Usijitie Mchambuzi,well,mchambuzi wa nini hasa?
 
COLLOH-MZII RELOADED.....najua hamjanielewa nilichosema hapo juu. NGAI FAFA!!!
qt0kgmnhg7lg9h6nr8js
Thiiitimaaa!
 
Mkuu usiwe mnazi namna hii..

Hili ni kosa la kusahau tuu..maana "climbing" ni tukio mahususi la miti pia..angetakiwa aweke "planting" ambalo ni tukio mahususi la miti pia....

Alipitiwa na misplacing ya hilo neno moja tu ambayo kimantiki yanahusiana sana na miti....

Hiyo sentensi aliyotoa muhusika ni sahihi 100% sema tu haiendani na tukio halisi lilipo kwenye picha basii.....

Huyu mtu anajua kiingereza kwa ufasaha kabisa,tatizo sentensi aliyoandika haiendani na tukio la pichani...

Usijitie Mchambuzi,well,mchambuzi wa nini hasa?
Mkuu acha kujitia aibu,
huyu muandishi katafsiri kama wakalimani wa subtitle za bongomovie na hajui hilo neno la planting ndiyo akatafsiri kwa maana ya moja kwa moja akimaanisha kupanda.
 
Mkuu acha kujitia aibu,
huyu muandishi katafsiri kama wakalimani wa subtitle za bongomovie na hajui hilo neno la planting ndiyo akatafsiri kwa maana ya moja kwa moja akimaanisha kupanda.

Mkuu

Niambie alichooandika jamaa kina kosa gani kisarufi?

Niambie tu maana naona unajia "mchambuzi" sana.

Kosa alilofanya ni kuelezea kitu ambacho sicho kinachofanyika kwenye picha!

Ila kiingereza kama kiingereza kipo sahihi kabisa!

Huenda hakuicheck vizuri picha kujua ni tukio gani linafanyika au alipitiwa tu ambapo nipo sahihi kabisa,sema nyie masnitch ndio mmeamua kumwaga mbovu tu!
 
Kaboronga kishenzi huyo mwandishi! Ametuaibisha sana.
Hajaboronga bwana ...atakuwa alikuwa ana mawazo tu maana "anatafakari kwa kiswahili" alafu anaandika kwa kiswahili kutokana na kiswahili kuwa na moja ambalo lina maana zaidi ya moja akijikuta anaandika "climbing" ambayo kimsingi inamaana "kupanda" ama "kukwea juu ya mti"...mwenye kosa zaidi mhariri wake ila sidhani kama itakuwa ni gazeti (itakuwa viblog uchwara)
 
Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juuView attachment 736662....mtumie kiswahili tafadhali
Relax young man! everyone can occasionally make mistakes.

Even Donald Trump who was born and raised in the US, had has posted broken English on his Twitter account. Not one or two times, several times!
 
Back
Top Bottom