RIP John Ngahyoma

PSYCHOLOGY

Senior Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
177
Reaction score
14
Habari.
Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi.

Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg! Akaisoma on air.
 
Yah alikua anaumwa,alipungua sana mwili last time kumuona nilimpotea kabisa.pole kwa wanahabari kwa kuondokewa na mwenzenu mwingine baada ya da Halima jana.
 
Habari.
Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi.

Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg! Akaisoma on air.

[h=2]R.I.P John Ngyahoma[/h]
 
Dah,
mola ndo mpangaj wa kila jambo
zaid ni kumshukuru Allah na maisha yasonge
 
R.I.P. John Ngyahoma. Pole Kwa Ndugu na Jamaa.

Steve Dii
 
Rest In Peace. Umetutangulia nasi tupo njiani.
 
dah! poleni sana wafiwa mchango wake ulikuwa bd unahitajika lkn mungu kampenda zaidi!
 
jana halima leo ngayhoma si kesho atakuwa ni nani tuzidi kumuomba mungu atusamehe midhambi yetu..
RIP John Ngahyoma..
 
Aisee! Dah! RIP mwanahabari wetu.

Ni John Ngyahoma au John Ngahyoma?
 
Duh! Jembe lingine katika tasnia ya habari kurudisha namba....................RIP John Ngahyoma
 
OMG! dah! yaani huu mwaka unamalizika vibaya jamani RIP John umekwenda mapema bado ulihitajika sana!
Poleni wanafamilia na ndugu wa karibu
 
Nimebakia mdomo wazi pole sana kwa familia ya marehemu RIP mwanahabari wetu..
 
Duuh!kulikoni tasnia ya habari? Anyway Atakalo Mola.....,R.I.P ngahyoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…