Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
Halima yupi tena?
Halima Mchuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halima yupi tena?
Halima yupi tena?
Aisee! Dah! RIP mwanahabari wetu.
Ni John Ngyahoma au John Ngahyoma?
Halima Mchuka.Halima yupi tena?
oooh my, Halima Mchuka RIP mpendwa sis tulikupend lakini mungu kakupenda zaidiHalima mchuka wa RTD-TBC
Naomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu Ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!
Kule kwetu wanasema "Tukushila"RIP JohnNaomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu Ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!