Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,849 Reaction score 2,739 Dec 30, 2011 #41 dah! Ukfkiria sana Mungu na kaz zake, waweza kuwa muasi wa ukuu wake....R.I.P ndugu ye2. Mungu kakupenda zaidi.
dah! Ukfkiria sana Mungu na kaz zake, waweza kuwa muasi wa ukuu wake....R.I.P ndugu ye2. Mungu kakupenda zaidi.
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,074 Reaction score 3,743 Dec 30, 2011 #42 Nipigo jingine kwa Tasnia ya Habari Tanzania baada ya siku moja tu tangu kufariki kwa mwana dada Halima Mchuka wa TBC leo hii tumepokea tena taarifa za kifo cha Nguli mwingine wa Habari John Ngahyoma wa BBC.
Nipigo jingine kwa Tasnia ya Habari Tanzania baada ya siku moja tu tangu kufariki kwa mwana dada Halima Mchuka wa TBC leo hii tumepokea tena taarifa za kifo cha Nguli mwingine wa Habari John Ngahyoma wa BBC.
ikizu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 431 Reaction score 56 Dec 30, 2011 #43 Mwanandishi wa habari wa siku nyingi john ngayoma afariki dunia leo tarehe 30/12/2011. Sorce tbc beaaking news ya saa nne na susu.
Mwanandishi wa habari wa siku nyingi john ngayoma afariki dunia leo tarehe 30/12/2011. Sorce tbc beaaking news ya saa nne na susu.
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,468 Reaction score 2,349 Dec 30, 2011 #44 RIP John
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,901 Reaction score 410 Dec 30, 2011 #45 RIP - John Ngahyoma na Poleni Wanafamilia wotee. *Ni majaliwa yake Mungu kuuona mwaka*.
G Geka Senior Member Joined Aug 1, 2011 Posts 176 Reaction score 41 Dec 30, 2011 #46 Pumzika kwa amani John N. mwanahabari mahiri, tutakukumbuka sana
Mkatavimeo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2011 Posts 2,150 Reaction score 872 Dec 30, 2011 #47 RIP John, poleni sana wafiwa, mungu awajalie nguvu na ustahimilivu katika kipindi hichi kigumu. BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMEN
RIP John, poleni sana wafiwa, mungu awajalie nguvu na ustahimilivu katika kipindi hichi kigumu. BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMEN
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,901 Reaction score 410 Dec 30, 2011 #48 Raia Fulani said: dah nahyoma kumbe kavuta? Click to expand... Hapo kwenye Blue unazidi kuifanya sridi iwe ngumu kueleweka.
Raia Fulani said: dah nahyoma kumbe kavuta? Click to expand... Hapo kwenye Blue unazidi kuifanya sridi iwe ngumu kueleweka.
Sumba-Wanga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 5,353 Reaction score 1,234 Dec 30, 2011 #49 Just missed few hours to see new year eve! RIP John.
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,407 Dec 30, 2011 #50 Pumzika kwa Amani John..Mungu atakufufua siku ya Mwisho!
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,407 Dec 30, 2011 #51 Mpui Lyazumbi said: Hapo kwenye Blue unazidi kuifanya sridi iwe ngumu kueleweka. Click to expand... hapo kwenye blue unaifanya izidi kuwa ngumu!
Mpui Lyazumbi said: Hapo kwenye Blue unazidi kuifanya sridi iwe ngumu kueleweka. Click to expand... hapo kwenye blue unaifanya izidi kuwa ngumu!
TaiJike JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 1,482 Reaction score 668 Dec 30, 2011 #52 R I P Ngayoma.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Dec 30, 2011 #53 RIP John.poleni ndugu jamaa na marafiki
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,483 Reaction score 3,369 Dec 30, 2011 #54 Lala kwa AMANI ya Bwana John Ngyahoma! Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina la na lihimidiwe!! _____________________________
Lala kwa AMANI ya Bwana John Ngyahoma! Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina la na lihimidiwe!! _____________________________
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Dec 30, 2011 #55 bwana alitoa,na bwana ametwaa jina lake litukuzwe.
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Dec 30, 2011 #56 poleni wafiwa.
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Dec 30, 2011 #57 rip.....................
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,720 Dec 30, 2011 #58 Pumzika kwa amani John Ngahyoma.....
Crucifix JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 1,655 Reaction score 592 Dec 30, 2011 #59 Mwandishi na mtangazaji J. Ngahyoma ametutoka
N Ngarenaro JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 308 Reaction score 45 Dec 30, 2011 #60 R.I.P John Ngayoma