Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Itakuja miamba mingine
Miamba inaondoka, tunabaki na akina Mambosasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miamba inaondoka, tunabaki na akina Mambosasa
Hii inamaanisha kwamba Jeshi linaweza kuchukua nchi na kuongoza sehemu zote nyeti vizuri tu kwa sababu zina wataalamu kwenye kila taaluma sio??Ninamkumbuka kwenye mggomo wa Madaktari wa MNH mwaka 2012 ambao uliongozwa na akina Dr Ulimboka. Prof Kohi na timu yake kutoka LugaloMilitary Hospital na kambi zingine wali fit in immediately na kuhakikisha kuwa huduma hazizorti. Binafsi ndiyo nilielewa maana ya kiapo cha Wabnajeshi
Apumzike kwa AmaniKuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
Miaka hiyo wenye elimu walikua na nafasi ila kwa sasa ni pesa tu ndio maana kila kitu ni hovyo , pesa hata mjinga anaweza pata.zama zake zilikuwa zama za academic profile, zama hizi ni zama za kumiliki hela.
kila mtu yuko faster kumiliki hela.

Ndio alifariki pale Lugaro , Mungu amhifadhi
USSR
Wekeni hata kapicha basi.Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
Sijawahi sikia nchi iliyoongozwa na jeshi na ikafanikiwa. Hata zikiwepo ni chache sana na sijui ni zipiHii inamaanisha kwamba Jeshi linaweza kuchukua nchi na kuongoza sehemu zote nyeti vizuri tu kwa sababu zina wataalamu kwenye kila taaluma sio??
Kulikua na huyu Mwamba mwingine;Maj Generali
Professor
Mwanasheria na bado alikuwa haringi sasa
Huwezi kuwa mjinga kisha ukamiliki pesa. Ila mpumbavu anaweza miliki pesa sio mjinga.Miaka hiyo wenye elimu walikua na nafasi ila kwa sasa ni pesa tu ndio maana kila kitu ni hovyo , pesa hata mjinga anaweza pata.
RIP Kamanda hakika kwa Cv hiyo alitisha sana.Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
The late Augusto RIPKulikua na huyu Mwamba mwingine;
Jaji Mkuu Zanzibar
Brigedia General
Jaji Mkuu wa Tanzania
President of President of African Court on Human and Peoples' Rights.
Episcopal vicar wa Dioces ya Dar es salaam
Mpiga Kinanda mahiri