TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

Ninamkumbuka kwenye mggomo wa Madaktari wa MNH mwaka 2012 ambao uliongozwa na akina Dr Ulimboka. Prof Kohi na timu yake kutoka LugaloMilitary Hospital na kambi zingine wali fit in immediately na kuhakikisha kuwa huduma hazizorti. Binafsi ndiyo nilielewa maana ya kiapo cha Wabnajeshi
Hii inamaanisha kwamba Jeshi linaweza kuchukua nchi na kuongoza sehemu zote nyeti vizuri tu kwa sababu zina wataalamu kwenye kila taaluma sio??
 
RIP mmoja wa maofisa wakuu wasomi sana waliopata kuputa ktk TPDF / JWTZ jeshi la Wananchi wa Tanzania

04 /04 / 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Obituaries / Milestones / News

The late Prof. Maj. Gen. Dr. Yadon Kohi

Prof. Brig. Gen. Dr. Yadon Kohi -

Prof. Maj. Gen. Dr. Yadon Kohi​

Prof. Maj. Gen. Dr. Yadon Kohi entered peacefully into rest on Sunday, 02nd April, 2023

Professor Yadon Kohi holds Bachelors (LLB) and Masters (LLM) degrees in Law (OUT, Tanzania), Bachelors degree in Medicine(MB ChB) (Makerere) and a Masters degree in Medicine(University of Glasgow, Scotland).

He was the first neurosurgeon in Tanzania. Professor Kohi has had a distinguished career in public service spanning more than thirty years.

He served in the Tanzania Peoples Defence Forces TPDF rising to the rank of Major General.

He has also served as the Director General of the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH), a State Corporation created to further and promote scientific research and development. He was the vice president of the Africa Malaria Network Trust and has held teaching positions at the Open University of Tanzania.

Professor Kohi was a member of the Tanzania Academy of Sciences and a Fellow of the Royal College of Physicians Surgeons of Glasgow (RCPSG) which was founded 1599.

Professor Kohi is a distinguished expert in the fields of Medical law, Medical malpractice and negligence
 
Ndio alifariki pale Lugaro , Mungu amhifadhi

USSR
SmartSelect_20230404_165823_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom