Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili
Tukiwaambia kataa ndoa mnabisha, haya sasa, unakimbilia kuoa si ajabu umeoa mke wa watu, mwanamke mmoja anawamiliki mabwana 7, ukioa mwanamke wa hivi sasa hapo ni nani kaolewa? Wewe mwenye mke mwenye mabwana 7 ndiye kakuowa wew na wapumbavu wenzako 6 jumla mko 7 nasema kawaoa ninyi nyote 7 ndiomaana anauwezo wa kuwahandle msitambuane na hata mkitambuana hamna uwezo wa kumfanya lolote.

Kuna uwezekano miaka 20 ijayo ndoa itakuwa kama maajabu 9 ya dunia yaliyowai kuwepo duniani, wanafunzi watakuwa wakiudhuria maktaba na Museums kujifunza na kushuhudia ama kutalii kuhusu uwepo wa ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hama fasta nenda chuga Kwa mashoga na wasagaji
Hii inachangiwa na kutorizika namkewako na tamaa na jeuri za wanawake!!!
KAKA MKUU JAMAA BADO .PIA ULISEMA FEBRUARY NDO HII PIA NATAKA KUJUA YEYE JOHN NI MUUZAJI WA BIDHAA AU MTENGENEZAJI?NAMBA SIYO YAKE LABDA UTUPE NAMBA YAKE HALISI INAYO ENDANA NA USAJILI WA NIDA
 
Hii inachangiwa na kutorizika namkewako na tamaa na jeuri za wanawake!!!
KAKA MKUU JAMAA BADO .PIA ULISEMA FEBRUARY NDO HII PIA NATAKA KUJUA YEYE JOHN NI MUUZAJI WA BIDHAA AU MTENGENEZAJI?NAMBA SIYO YAKE LABDA UTUPE NAMBA YAKE HALISI INAYO ENDANA NA USAJILI WA NIDA
Yeye ndio anazitoa ila kwasasa Yupo DSM anamalizia majanga yake. Yeye ndio anautengeneza na kuuza
 
Si wanasema wanaume wa dar hawana nguvu za kiume?
Inashangaza sana kila siku wanawake wanalalamika kina Baba sekunde 8 chali wiki -mwezi unakata sasa hiyo michepuko wanaipa nini[emoji23] au ndiyo AIDOLA AIDOLA?
 
N

Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili.

Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano ya kimapenzi na watu tisa, Lindi watu nane na Dodoma watu watano.

Chanzo: Ripoti ya Afya, Malaria na Viashiria (TDHS-MIS 2022).
na mikoa hii inaongoza jamani kwa HIV Dodoma na Dar, ni kuwa makini sana kwa kweli, ukimwi upo mwingi sana haya maeneo
 
Back
Top Bottom