Tukiwaambia kataa ndoa mnabisha, haya sasa, unakimbilia kuoa si ajabu umeoa mke wa watu, mwanamke mmoja anawamiliki mabwana 7, ukioa mwanamke wa hivi sasa hapo ni nani kaolewa? Wewe mwenye mke mwenye mabwana 7 ndiye kakuowa wew na wapumbavu wenzako 6 jumla mko 7 nasema kawaoa ninyi nyote 7 ndiomaana anauwezo wa kuwahandle msitambuane na hata mkitambuana hamna uwezo wa kumfanya lolote.

Kuna uwezekano miaka 20 ijayo ndoa itakuwa kama maajabu 9 ya dunia yaliyowai kuwepo duniani, wanafunzi watakuwa wakiudhuria maktaba na Museums kujifunza na kushuhudia ama kutalii kuhusu uwepo wa ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hama fasta nenda chuga Kwa mashoga na wasagaji
Hii inachangiwa na kutorizika namkewako na tamaa na jeuri za wanawake!!!
KAKA MKUU JAMAA BADO .PIA ULISEMA FEBRUARY NDO HII PIA NATAKA KUJUA YEYE JOHN NI MUUZAJI WA BIDHAA AU MTENGENEZAJI?NAMBA SIYO YAKE LABDA UTUPE NAMBA YAKE HALISI INAYO ENDANA NA USAJILI WA NIDA
 
Yeye ndio anazitoa ila kwasasa Yupo DSM anamalizia majanga yake. Yeye ndio anautengeneza na kuuza
 
Si wanasema wanaume wa dar hawana nguvu za kiume?
Inashangaza sana kila siku wanawake wanalalamika kina Baba sekunde 8 chali wiki -mwezi unakata sasa hiyo michepuko wanaipa nini[emoji23] au ndiyo AIDOLA AIDOLA?
 
N na mikoa hii inaongoza jamani kwa HIV Dodoma na Dar, ni kuwa makini sana kwa kweli, ukimwi upo mwingi sana haya maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…