Nijuavyo mie kwa kuwa TUME haiwalipi mawakala wa vyama hivyo haina haki kuteulia vyama aina ya mawakala vitakaowatumia. Ntashangaa sana kusikia kuwa eti mawakala wamechujwa na Tume.
Lakini ni jambo la kusikitisha CHADEMA kama watakuwa hawakuweka mawakala wa kutosha kwenye vituo vyote maana watakuwa wametukatisha tamaa sana. Kama kura zikiibwa hatutawalaumu CCM bali wao maana wanaujua ukweli hata kuliko sie tuujuavyo kuhusu mipango ya uizi wa CCM. Nitawashangaa sana CHADEMA wakiibukia kusema wameibiwa kura wakati hawakuweka mawakala ama kabisa au makini.
Mambo mengine bana hata Mungu anatuona tulivyo wapumbavuuu
Jamani mi naamini mambo mengi yapo in control.msifikiri wajitoleao wote ni wema,wengine ni mamluki na vyama vilipeleka majina ya mawakala 7days b4 2day.wengi wanaojitolea siyo wanachama,kuwaamini jumlajumla inaweza leta maafa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.