Elections 2010 Ripoti hii si ya kupuuza hasa kutoka kwa shuhuda......isome!!!!

Elections 2010 Ripoti hii si ya kupuuza hasa kutoka kwa shuhuda......isome!!!!

Acheni mbinu yenu ya kukatishana tamaa kuhusu mawakala hii mbinu imeanza toka jana na ukiangalia wanaosapoti ni walewale.
 
Unaweza kuta izi ni porojo za wanaccm umu ila kama kweli CHADEMA watakuwa wanazifanyia kazi izi taarifa
 
Nijuavyo mie kwa kuwa TUME haiwalipi mawakala wa vyama hivyo haina haki kuteulia vyama aina ya mawakala vitakaowatumia. Ntashangaa sana kusikia kuwa eti mawakala wamechujwa na Tume.

Lakini ni jambo la kusikitisha CHADEMA kama watakuwa hawakuweka mawakala wa kutosha kwenye vituo vyote maana watakuwa wametukatisha tamaa sana. Kama kura zikiibwa hatutawalaumu CCM bali wao maana wanaujua ukweli hata kuliko sie tuujuavyo kuhusu mipango ya uizi wa CCM. Nitawashangaa sana CHADEMA wakiibukia kusema wameibiwa kura wakati hawakuweka mawakala ama kabisa au makini.

Mambo mengine bana hata Mungu anatuona tulivyo wapumbavuuu
 
Jamani mi naamini mambo mengi yapo in control.msifikiri wajitoleao wote ni wema,wengine ni mamluki na vyama vilipeleka majina ya mawakala 7days b4 2day.wengi wanaojitolea siyo wanachama,kuwaamini jumlajumla inaweza leta maafa
 
Back
Top Bottom