Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?
Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee