imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Huu ndio wakati wa kuwataarifu wananchi kwenye majukwaa.Mchawi ni CCM kwani huu ni ukoo wa panya wote wapigaji wanazidiana viwango tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio wakati wa kuwataarifu wananchi kwenye majukwaa.Mchawi ni CCM kwani huu ni ukoo wa panya wote wapigaji wanazidiana viwango tu
Aliyekataa 2021/22 kuwa Jiwe alishakufa ni nani?Hiyo report ya 2021/2022.JPM alishafariki tayari.Hakuwepo hata kwenye upitishwaji wa Budget yenyewe.Huu ufisadi wa kutisha umetokea chini ya Serikali ya sasa iliyopo madarakani.Mjibu mtoa mada kwa hoja na usikimbilie kuandika maneno ya kejeli kwa herufi kubwa ambayo ni dalili ya kupiga makelele.
Tumekuwa nchi ya ajabu!!Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2022/2023 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analolipngoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote, utayakuta Tanzania pekee
Bajeti inayoenda kuibiwa ina msaada gani?Bunge la bajeti babu,waache bajeti!?
wa kulaumiwa ni yule aliyewaruhusu mbuzi wale kwa urefu wa kamba zao. Spika anafuata kanuni za bunge.Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2022/2023 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analolipngoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote, utayakuta Tanzania pekee
Huyu Dada hafai kabisa na siyo mbeya tu, hafai hata kwenye kampuni yoyote ileSugu huko mbeya saidia kuondoa mlinzi was mafisadi,sote tuseme Tulia must GO!!!!!!!!!!!!!
Kunywa maji mengi mkuu! Baada ya hasira zako na kuniita kila jina ulilofikiri, unadhani imeondoa upotevu wa mapesa yetu mnayotuibia?KILAZA WEWE
NARUDIA KILAZA WEWE SUKUMA GANG.
Natamani nisikueleze kwanini wewe ni kilaza ila ngoja tu nisema:
Ripti ya 2022/2023 bado haijafanyiwa kazi.Ripoti iliyopo ni 2021/2022 sjui wewe huko 2022/2023 umepata wapi.
Ila pia sina hakika na akili zako zilizokutuma nusu ya bajeti sijui unamaanisha bajeti ya mwaka ni 2 trillion au unamaanisha nini.
Pia rudi nyuma fungua website ya CAG upitie ripoti za miaka ya walau kuanzia 2015-2021 halafu uje utueleze umeelewa nini
kwa taarifa zako mi ni fala flani tu hivi ila sikubali kuona jamvi linavamiwa na watu waongo na wasotaka kusoma na kuelewa. Umekuja na ngojera za 2022/2023 wakati hata hyo audit haijafanywa. Halafu unajiona hujapungukiwa na NGUVU ............................msiwe mnapinga hata bila uelewa.Kunywa maji mengi mkuu! Baada ya hasira zako na kuniita kila jina ulilofikiri, unadhani imeondoa upotevu wa mapesa yetu mnayotuibia?
Hata hivyo! Ukipenda sana kitu, mwisho wake unapata wazimu! Huwezi kukubali kwamba usimamizi wa kodi temu hii mmepwaya hadi mnatoa mapovu tu mkiambiwa kwamba sasa mnatutia hasara tu!
Miradi inasuasua, barabara tangu mmeingia hakuna hata moja mliojenga, licha kwamba mlipewa tr 2 mwenge, zote zimeingia kwenye domo la mafisadi ya ccm
Waoneeni huruma walipa kodi, rudisheni pesa zetu majambazi ya ccm nyinyikwa taarifa zako mi ni fala flani tu hivi ila sikubali kuona jamvi linavamiwa na watu waongo na wasotaka kusoma na kuelewa. Umekuja na ngojera za 2022/2023 wakati hata hyo audit haijafanywa. Halafu unajiona hujapungukiwa na NGUVU ............................msiwe mnapinga hata bila uelewa.
We nijibu hyo nusu ya bajeti nzima 17 trillion ambazo we unasema zimefujwa ziliandikwa wapi
SOMA HIZI RIPOTI HAPA CHINI
hthttps://www.nao.go.tz/uploads/Annual_General_Report_for_Regional_Administration_and_Local_Government_(LGA)_FY_2021-22.pdftps://www.nao.go.tz/uploads/Annual_General_Report_for_Central_Government_FY_2021-22.pdf
SOMA NA ZA NYUMA WAKATI WA MSUKUMA MWENZIO
NK..........NK
SI NDO MAANA NIMEKUONA KILAZA, JIBU HOJA.Waoneeni huruma walipa kodi, rudisheni pesa zetu majambazi ya ccm nyinyi
Victoire , yupo wapi?Watu walilipizia ile miaka mitano ya Magufuli waliyokuwa wanaogopa kuiba.
Umefikiria sawasawa!?Bajeti inayoenda kuibiwa ina msaada gani?
Same CCM!! Usitegemee action hapo, Imeisha hiyoo....Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?
Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee