Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

Aliyekataa 2021/22 kuwa Jiwe alishakufa ni nani?
Soma vema mwandishi kaandika ripoti ya mwaka gani ndo urudi tena tuelewane
 
Tumekuwa nchi ya ajabu!!

Halafu huyo spika utamsikia siku nyingine anasimama mbele ya watu na kujitangaza kuwa yeye ni mzalendo mpenda nchi!!
 
wa kulaumiwa ni yule aliyewaruhusu mbuzi wale kwa urefu wa kamba zao. Spika anafuata kanuni za bunge.
 
Kunywa maji mengi mkuu! Baada ya hasira zako na kuniita kila jina ulilofikiri, unadhani imeondoa upotevu wa mapesa yetu mnayotuibia?

Hata hivyo! Ukipenda sana kitu, mwisho wake unapata wazimu! Huwezi kukubali kwamba usimamizi wa kodi temu hii mmepwaya hadi mnatoa mapovu tu mkiambiwa kwamba sasa mnatutia hasara tu!

Miradi inasuasua, barabara tangu mmeingia hakuna hata moja mliojenga, licha kwamba mlipewa tr 2 mwenge, zote zimeingia kwenye domo la mafisadi ya ccm
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na Rais ambaye hajawahi kuiomba hiyo nafasi.

Yaani Yuko hapo tu kwa mujibu wa katiba.

Hana uchungu kabisa wa lolote lile anachojali ni kumaliza muda wake tu wa Urais na kugombea Tena.

Samia hayupo serious kabisa na uongozi wa Taifa letu.

Anatuharibia nchi.

She either act or resign. Aache wenye moyo wafanye kazi maana yeye hana moyo huo.
 
kwa taarifa zako mi ni fala flani tu hivi ila sikubali kuona jamvi linavamiwa na watu waongo na wasotaka kusoma na kuelewa. Umekuja na ngojera za 2022/2023 wakati hata hyo audit haijafanywa. Halafu unajiona hujapungukiwa na NGUVU ............................msiwe mnapinga hata bila uelewa.
We nijibu hyo nusu ya bajeti nzima 17 trillion ambazo we unasema zimefujwa ziliandikwa wapi

SOMA HIZI RIPOTI HAPA CHINI
hthttps://www.nao.go.tz/uploads/Annual_General_Report_for_Regional_Administration_and_Local_Government_(LGA)_FY_2021-22.pdftps://www.nao.go.tz/uploads/Annual_General_Report_for_Central_Government_FY_2021-22.pdf


SOMA NA ZA NYUMA WAKATI WA MSUKUMA MWENZIO





NK..........NK
 
Waoneeni huruma walipa kodi, rudisheni pesa zetu majambazi ya ccm nyinyi
 
Same CCM!! Usitegemee action hapo, Imeisha hiyoo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…