Ripoti inaeleza kuwa njia ya mafuta ilikatwa kabla ya ajali iliyohusisha Air India

Ripoti inaeleza kuwa njia ya mafuta ilikatwa kabla ya ajali iliyohusisha Air India

Usitishwaji wa usambaji wa mafuta katika injini ya ngede kabla ya kuanza safari imetajwa kama sababu ya iliyosababisha ajali ya ndege ambayo imeua watu takriban 260 hii ni kwa mjibu wa ripoti ya uchanguzi ambayo imetoka

kulingana na ripoti ya ofisi ya upelelezi wa ajali ya ndege ya india, swichi za kudhibiti mafuta kwenye chumba cha marubani cha boeing 787 dreamliner zilikuwa zimepinduliwa licha ya hivyo uchunguzi umeshindwa kuweka wazi kama ni nani alipindua njia za mafuta katika ndege hiyo

wachanguzi wamewaza kupata takwimu kutoka kisanduku cheusi ikiwa na pamoja takwimu za ndege za masaa mawili ya saut kabla ya ajali kutokea

katika saut ambazo zimetolewa kwenye kisanduku hicho zimenukuliwa marubani wakibishana huku akimuliza mwingine kuwa nani alikata njia ya mafuta na kumjibu kuwa hakufanya hivyo
Kiwanda cha ndege hawataki kuharibu biashara.
 
Back
Top Bottom