Inasikitisha sijuii nianzie wapi,mazonge Ni mengi katika serikali hii,mimi Kwa leo sitosema nitamwachia CAG,kwanza nampongeza kwa kuendelea kulitumia neno hili adhimu la udhaifu,na vile vile kuwafasihi wale ,waliokuwa kiswahili Ni Lugha yao ya pili baada ya lugha ya nyumbani,pili nampongeza CAG Kwa kumwaga mboga,lakini la kustajabisha wakubwa wamekimbia,kila mmoja katafuta njia ya mbali,kwa kweli Ni aibu,kumbe yale yote wanayoyasisitiza ni uwongo mtupu,wanawakogesha wananchi uwongo,serikali ya wagagagigikoko,wanatumia watu wasiojulikana kama Ni silaha,halafu wanakuwa waungu watu,huuu ufisadi na ubadhirifu umevunja rekodi,Sasa ikiwa tumetumia matrilioni Atc ,kodi za wananchi/au madeni Kwa wananchi,na halafu hasara juu,serikali hii,inasikitisha na aibu,na hofu na vitisho na ukatili,Mungu tusaidie watanzania.