900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
KARIBU PAGE ZOTEPage ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KARIBU PAGE ZOTEPage ipi?
Deficiency ni neno la kawaida sana huko kwny auditing.Nipo nasoma muhtasari wa ripoti naona neno DHAIFU limetumika sana,kumbe kwa yeye ni neno la kawaida sana
hii ripoti ni original? mbona CUF haimo?
We mpuuzi nin?Unataka watu wasijadili report ya ukaguzi wa hesabu za serikali?Wale wenye kusubiri MATUKIO ili waseme basi tukio ni hilo hapo. Someni hiyo ripoti, tafute na zusheni ubovu na kisha muusemee kwa nia na lengo la kuichafua serikali hii. Nasema hivyo kwani siku hizi HAWANA HOJA tena bali wanagoja MATUKIO ili wapate cha kusema kwani vile vihoja vyao walivyoviona in the 3rd and 4th phase governments vimevyekeelwa mbali na kutekelezwa na hili LI AWAMU LA TANO! Hongera sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri ya kuongoza na kuisimamia serikali hii ya Awamu ya Tano. Keep it up.
Hayo mambo safi kwa ccm yapo wapi???
Zito atakuja na summary yakeHahaha mambo yamenoga, haya ngoja nimsubiri ZZK anioneshe ukurasa wa kusoma upigaji wa jiWE na kamongo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhaifu Ndugai na genge lake lote, pale makao makuu na wale wa ccm., unavyoona hata polepole kanenepa unafiri kuna ukamilifu ndani yake ni udhaifu tu mkuu."Viongozi wa Kisiasa"; hawa ndio akina nani ambao CAG anabainisha kwamba hawana sheria inayo-guide terminal benefits (mafao) zao ilhali walalahoi tunatungiwa kila aina ya sheria, kanuni, vikokotoo, n.k. tena kwa jasho letu halali?
Tunahitaji chama mbadala wa CCM ambacho kinafuata sheria za mapato na matumizi lakini ukiangalia hapa unakuta vyama karibu vyote ni walewale wapigajiKuridhisha = satisfactory
Shaka = Doubtful...
Hawa wote wako level moja..
Ila kwa vile tu ukiwa ccm unakuwa kima..wanajiona wako safi.
CHADEMA wakiklia doubt wanaweza wazidi Nyie ambao mmeambiwa mnaridhish.
ZERO BRAINS
Hii inatia matumaini na ni ushindi kwa katiba kwani kuna wapuuzi wachache walitaka kuwaaminisha umma CAG hana umuhimu nchini.
kamongo wenyewe walishatangulia kutumbukia kwenye karahi inayochemka mafuta