Ripoti Kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018

Ripoti Kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018

Profesa mchokozi sana! Kwenye hiyo barua ya uwasilishaji wa ripoti naona "akimkumbusha" Mkuu wa Nchi kwamba "Ripoti hii ya jumla itawasilishwa katika kikao cha Bunge cha mwezi Aprili 2019". Akijua mwenye kuiwasilisha Bungeni ni Rais mwenyewe sijui kwanini katumia neno "itawasilishwa" badala ya "unaombwa kuwasilisha"?

Itawasilishwa imekaa kama order zaidi japo ya kistaarabu flani hivi. Yaani alimaanisha "jogoo awike asiwike" ripoti lazima iende Bungeni ama kwa Rais mwenyewe kuipeleka au "kwa namna nyingine" maana ndivyo isemavyo KATIBA ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania! Raha sana! Halafu Ndugai na Bunge lake wanataka kuleta utani!
Kila mtu na utawala wake bhana[emoji23][emoji23][emoji23] mwache atambe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi waliosomaga CBN,ngoja tusubiri wachambuzi waweke kila kitu sawa kwanza


'You can do anything but not everything'
 
Najitahidi kuanzisha threads zenye kuleta sehemu muhimu za kuangalia ambapo CAG amebaini upigaji mkubwa.
... itasaidia sana Mkuu; utakuwa umetimiza wajibu muhimu wa kuwa "raia mwema" kwa nchi yako.
 
Back
Top Bottom