Ripoti Kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018

Ripoti Kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018

Weka za wote tujue nani msafi zaidi ili wajifunze kuisafisha..
 
watakuja kusema CAG katumwa na CCM kuwaandikia hatia zenye shaka , zisizoridhisha na mbaya
 
Profesa mchokozi sana! Kwenye hiyo barua ya uwasilishaji wa ripoti naona "akimkumbusha" Mkuu wa Nchi kwamba "Ripoti hii ya jumla itawasilishwa katika kikao cha Bunge cha mwezi Aprili 2019". Akijua mwenye kuiwasilisha Bungeni ni Rais mwenyewe sijui kwanini katumia neno "itawasilishwa" badala ya "unaombwa kuwasilisha"?

Itawasilishwa imekaa kama order zaidi japo ya kistaarabu flani hivi. Yaani alimaanisha "jogoo awike asiwike" ripoti lazima iende Bungeni ama kwa Rais mwenyewe kuipeleka au "kwa namna nyingine" maana ndivyo isemavyo KATIBA ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania! Raha sana! Halafu Ndugai na Bunge lake wanataka kuleta utani!
 
Back
Top Bottom