Ripoti kutoka mtandao wa Youtube Wasafi Clasic Baby W<B yaongoza baraani Africa.

Ripoti kutoka mtandao wa Youtube Wasafi Clasic Baby W<B yaongoza baraani Africa.

WCB Wapinzani wetu ni KINGS music sio Hamomavi. Sisi na Kings ni watani wa jadi
 
Ukipinga hapa unaonekana hater lkn hii ni habari ya kutunga , leta source nika some mwenyewe , nmepita source zote nnazo ziamini hakuna kitu kma hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo wa diamond ambao haupo kwenye playlist yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Za diamond zipo 3 the one, ukimuona na Africa beauty, Rama Dee zipo 4 kipenda roho,nibebe,Kama hautaweza na kuwa na subira kiba zipo 2 aje na seduce me, maua sama niteke na iokote future jnr ipo 1 kisiwani, rayvanny naogopa na gimi dati, mboso zipo 3 hodari, alele na kipepeo harmonize zipo 2 never give up na inabana zee cute ft hamadai najua, jide ipo moja I don't care.Ngoma zangu za bongo zipo hizo tu ila za nje ninazo nyingi.
 
Back
Top Bottom