Ripoti kutoka mtandao wa Youtube Wasafi Clasic Baby W<B yaongoza baraani Africa.

Ripoti kutoka mtandao wa Youtube Wasafi Clasic Baby W<B yaongoza baraani Africa.

Sasa mkuu billboard wenyewe wanangalia number of streams.. Kwamba wanaangailia views za nyimbo kutoka youtube, streams kutoka spotfy, itunes etc... Sasa sijui ataingizaje ngoma billboard pasipo kupigania views
King kiba yeye anapigania nyimbo zake kuingia billboard hana muda na YouTube kwanza amefanya setting account yake isiwe na viewers wengi pale anapo upload nyimbo kwasababu hapendag showoff

Sent using Jamii Forums mobile app

Tena billboard mtu yeyote anaweza kuingiza ngoma ilimradi iwe viral tu.. Iwe na mastreams yakutosha na maviews ya kutosha... Ngoma nyingi za wenzetu zina stream za kutosha huko itune na Spotify ndiomaana zinaingia billboard faster + youtube views ndo hatari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wimbo wa Africa ulio wai kufikisha ata views 500 m.. Wewe umechanganya mafaili
Cjakubaliana na ww hii mbona imefkisha Tena views 2.7B. Major Lazer & DJ Snake - Lean On (feat. MØ) (Official Music Video)
2.7B views
 
Cjakubaliana na ww hii mbona imefkisha Tena views 2.7B. Major Lazer & DJ Snake - Lean On (feat. MØ) (Official Music Video)
2.7B views
Unaelewa maana ya Africa? Yupi ni msanii wa africa hapo?
 
waliopo kwenye list ni wasanii wa wcb,ila kiba katajwa mara 42 mpaka sasa katika coments[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31].

sijui niseme neno gani[emoji23][emoji23][emoji23],maana nitawakera na sitaki mkereke.
 
Back
Top Bottom