Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.

Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.

Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.

Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Mkuu Nguruvi3,

Hawasafirishi kama gunia la mahindi au mbunga, wanapakia kwenye mabegi madogo madogo.

Sembe ya kila mia 150 unaweza kukuta imepakiwa kwenye mabegi hata matano au sita.

Umenifurahisha sana mkuu ha haa ha ha, sembe ni hatari kwa nguvu kazi ndiyo maana China wananyonga wakikukamata na mzigo mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
umechapia sana mzee ni to make us the fools
Hatred is your reward for our love
chase them crazy baldhead

Ana version kama nane ivi za live concerts katika kila nyimbo!
Siku alipoulizwa now which is which! he said choose one, Seeen?
 
Mkuu Nguruvi3,

Hawasafirishi kama gunia la mahindi au mbunga, wanapakia kwenye mabegi madogo madogo.

Sembe ya kila mia 150 unaweza kukuta imepakiwa kwenye mabegi hata matano au sita.

Umenifurahisha sana mkuu ha haa ha ha, sembe ni hatari kwa nguvu kazi ndiyo maana China wananyonga wakikukamata na mzigo mkubwa.
But in the end ni mzigo wa kilo 160. Unataka kusema kilo 160 katika mabegi 10 ya kilo 16 ni rahisi kutoonekana? Ninapoongelea 160 ninaongelea kiasi kilichokamatwa ambacho kimetengeneza headlines duniani.
Hakuna gazeti (at least niliyosoma) lililosema kilo 160 katika mafungu kadhaa!

China wamekula vichwa sana, na wengine wapo Arab world wakisubiri upanga. Hatari Ritz
Siajabu ukisafiri na passport ya Tzn ukawekewa microscope mwisho wa alimentary canal(lahaula) wakijua ni wale wale. ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo alipotufikisha dhaifu! Je, tumefikaje hapa? Nani alimleta dhaifu? Mzee rukhsa huyu ndiye nambari one ambaye alifahamu kwamba kuna kiumbe ambaye ni dhaifu na alidiriki kumleta kufanya madhambi yote haya. Alipopewa majina ya wauza unga alisema wajirekebishe na kuyaweka kapuni akafikiri tatizo limekwisha kumbe yeye mwenyewe ni mshiriki. Kama yeye sio mshiriki kwa nini hachukui hatua? Wapo makuwadi wake Nguchiros' ambao watafurika hapa kutetea uozo na uvundo.

Kama taifa wote hawa waliotajwa wachukuliwe hatua kama jinsi SOCA ya UK inavyowatendea wahalifu ambao wanajihusisha na organised crime.

1. Wachukuliwe hatua mara moja, mali zao kutaifishwa kwa sheria ya uhujumu wa uchumi.

2. Wawekwe ndani mara moja kwa sheria hiyo, yaani unampiga nyani bila kumwangalia usoni.

3. Ulinzi uimarishwe kuona haki inatendeka.

Kama serikali ooops kama Jakaya kikwete hawezi kufanya hivyo ajiuzuru, vinginevyo atakuwa analiangamiza hili taifa kinyume na kiapo chake alipochukua kazi hii. Bunge na Mahakama kuu ya Tanzania ni wakati sasa wa kusimamia haki hakuna sababu ya kuogopa vivuli vya maharamia. Kama ikishindikana kuna vijana wa jeshi ambao wanaweza kabisa kurahisisha hili zoezi, tumeona kule Misri yaliyotokea Je, bado tulale tu kama vile hakuna kinachoendelea?

Its not life as usual any more, ni vita na wasioweza wapishe wanaoweza kulinda na kutetea maslahi ya nchi hii.

BTW sasa nafahamu kwa nini kila ninapotaja SOCA ya UK kuna watu mishipa huwa inawatoka. SOCA | About SOCA

''SOCA tackles serious organised crime that affects the UK and our citizens. This includes Class A drugs, people smuggling and human trafficking, major gun crime, fraud, computer crime and money laundering.

First class intelligence - we use all kinds of ways to gather the knowledge we need to know where, when and how to strike to best effect.
Monitoring serious career criminals - in some cases we watch them for life, to prevent them from continuing their criminal activities in prison or after release.
Hitting them where it hurts - by taking criminals' cash and property. For many serious criminals, this worries them more than the prospect of going to prison.
Working in partnership - serious organised crime is a major problem that affects everyone every day, so we co-operate with law enforcement, public and private sector partners to counter it.
Worldwide operations - we go anywhere we need to when tackling criminal activity. For instance, a street drug dealer is just the last link in a chain that probably stretches to the other side of the world. So our activities aren't limited by borders.
Making it harder to commit crime - for example, passing on details of suspicious financial activities or forged identities to banks before frauds can take place.
Find out more about how we work

Library – here's where you can read relevant reports and legislation.


How we are run – the structure of SOCA plus how we're accountable.


How we work – our priorities and main areas of work, including gathering intelligence, investigation, new approaches and asset recovery.


Working in partnership – who we work with, both in the UK and abroad.


UK Financial Intelligence Unit (UKFIU) – the part of SOCA that focuses on the proceeds of crime and terrorist financing.


National Crime Agency - the National Crime Agency becomes operational in 2013


UK Human Trafficking Centre (UKHTC) - a central point of expertise and coordination in relation to the UK's response to the trafficking of human beings


Missing Persons Bureau - The MPB support and improve the services provided to missing persons investigations.


Serious Crime Analysis Section - The SCAS team of crime analysts and specialist police staff analyse rape and serious sexual assualt and motiveless or sexually motivated murder cases.


Specialist Operations Centre - The SOC provides front line policing with information, advice and support in relation to surveillance law, major crime and vulnerable and intimidated witnesses.


Crime Operational Support - COS assists police forces in the resolution of exceptional crime series and operational critical incidents.


Proceeds of Crime Centre - responsible for monitoring the performance of financial investigators in England, Wales and Northern Ireland.


Child Exploitation and Online Protection (CEOP) Centre - a pioneering law enforcement led multi-agency organisation, dedicated to protecting children against sexual abuse.''



 
Hivi wale akina Nzoa waliotaka kumbambikia mtoto wa Mengi Madawa wakipata melekezo na pesa toka kwa Manji, issue yao iliishia wapi? Walipofukuzwa kazi walipelekwa mahakamani?
 
Hile Barua tusihiamini moja kwa moja,Ukihisoma kwa Makini,utagundua mwandishi anajisahau na kuisemea nafsi ya mtu,Dhima nzima kwangu niliyoiona kwenye ile Barua,mwandishi alitaka kufikisha ujumbe,watanzania wawajue drug Lords,na mwingiliano wa Kazi ya Madawa ya kulevya na vyombo vya Usalama
 
Nchi hii tukishindwa kila kitu tunasema wapinzani ndo wanasababisha, hili nalo la jeshi na majeshi kufanya fyongo ni wapinzani?? kumbe kweli sasa wanatawala nchi kwa remote.
 
But in the end ni mzigo wa kilo 160. Unataka kusema kilo 160 katika mabegi 10 ya kilo 16 ni rahisi kutoonekana? Ninapoongelea 160 ninaongelea kiasi kilichokamatwa ambacho kimetengeneza headlines duniani.
Hakuna gazeti (at least niliyosoma) lililosema kilo 160 katika mafungu kadhaa!

China wamekula vichwa sana, na wengine wapo Arab world wakisubiri upanga. Hatari Ritz
Siajabu ukisafiri na passport ya Tzn ukawekewa microscope mwisho wa alimentary canal(lahaula) wakijua ni wale wale. ha ha ha
Labda ujanielewa vizuri, wala sijakuambia ukiwekwa kwenye mafungu kadhaa itakuwa ngumu kukamatwa.

Wanachofanya ni kununua kilo inategemea na shirika gani la ndege, mashirika mengine mwisho kuuza kilo ni kilo 60, mengine wanauza mpaka kilo 200.

Na katika kufunga mzigo wako box lisizidi kilo 30, kama umenunua kilo 150 funga box/begi, kila 30 kila moja hauwezi kwenda na kilo 150 umeifunga sehemu moja labda kwenye ndege za mizigo lakini siyo za abiria na hawa wauza sembe wanapanda ndege za abiria wanasafiri na mizigo yao.

Ki ukweli sasa hivi ukiingia China au Hong Kong unachekiwa mpaka kero, Hong Kong ndiyo noma zaidi na hivi pale hakuna viza watanzania tunaingia tu.

Lazima wakuhoji wakiona passport ya Tanzania na wanakuweka pembeni wakiwa na wasiwasi wanakuingiza chumbani wanakupa na chai au kahawa huku wanakuangalia kwenye camera, hauwezi kunywa chai au kahawa wakati umebeba sembe, lazima wakumalize.

China wao wakihisi kama umebeba sembe kuna maji yao wanakuambia kunywa haya maji lakini kama umemeza sembe utapata matatizo, kama haujabeba hauwezi kupata madhara kama umebeba utajuta.
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu malima naibu waziri?????hii nchi bhana ni tamu kweli!!
 
Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.

Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.

Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.

Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Ni nyimbo tu za majukwaani. Eti Taifa lina rada? Rada yenyewe haioni kama Rais wetu na ndiyo maana marais wa Marekani wakija Nchini vyombo vyetu vya ulinzi wa wezi hukalishwa pembeni, wanajua udhaifu wa viongozi wetu! Zee la kupiga (anajua kupiga tu) alisema wauza madawa hawa ni watu hatari. Mbaya zaidi hatufafanua ni watu hatari kivipi. Rais aliwahi kusema hadharani kwamba list anayo, kaifanyia nini hadi leo hii? tena baada ya wahusika kusikia serikali ikikili kuwa ni watu hatari, orodha ya majina yao wserikali inayo na haiwachukulii hatua, wameamua kufanya mambo hadharani kwa sababu hakuna haja tena ya kufanya kificho. Hata motto wa darasa la nne anakueleza nini maana ya matukio haya na kwanini hakuna ufuatiliaji. Tafsiri nyepesi sana hii inamaanisha hata Rais ni dealer. Nchi iko salama???!
 
Serikali imebaki kuwa mbwa asio na meno! Chakushangaza wahusika wanajulikana, lakini hatua stahiki hazichukuliwi! Mwenye fikra za kawaida atajua tu "KILA MWENYE MAMLAKA SI MSAFI". kumebakia ile dhana ya Nani amfunge paka kengele:wave:
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya Chadema na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na Chadema tu.
Usitutoe kwenye mada please!!
 
labda tuwapeleke Colombia wakajifunze ni jinsi gani akina Pablo Escobar walisumbua taifa, kama bado wana akili ya kujifunza.

Ukute wao ndio na 'escobars' wenyewe, huwezi kujikamata.
 
hivi tumefikaje hapa? I did not see this coming kabisa. Am lost. . .
 
Asante MM kwa uchambuzi wako makini umetusaidia hata tulioshindwa kuisoma barua ile kutokana na kutumia simu!!!!!! Sasa kazi imebaki kwa huyu jamaa wa magogoni nina uhakika hawezi kuchukua hatua yeyote kwa sababu hao ndio waliomweka madarakani,anawaogopa sana hao jamaa zake,
Tutakachosikia ni ngonjera za mwisho za mwisho wa mwezi anazoimba kwenye vyombo vya habar,Au atawaita wazee wa Dar es salaam() au atakuja Salva Rweyemamu kuleta ngonjera kwa niaba ya IKULU? ni maswali bila majibu!!! Tusubiri Tuone!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom