Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Nyie Vyama vya upinzani mnatuchanganya sisi CCM. Tulikunja na njia rahisi ya kujipatia hela wakati wa kapeini kwa utaratibu wa kuchukuwa fedha za EPA Mkatujia juu Mkasema wizi. Tukaona njia nyingine ni MEREMETA na kagoda, bado mkatukaba koo, tumejaribu kuanzisha makampuni tukiwa Ikulu nasi tuonyeshe mfano wa ujasiriamali pia hamkutaka. Ni juzi tu hapa tumeanzisha biashara ya wanyama hai na Pembe za pamoja na nyara nyinginezo pia hamtaki. Kwenye madini bado nako tunajipatia hela kidogo ,maana tumelemewa na wadhugu nako mnatuletea gozigozi. Obama kaja tukajipatia tubilion nane tu lakini mmpaka saaaana. haya sasa madawa kwani tunawalazimisha kuyatumia. Sisi tunaweka sokoni lakini kwa viherehere vyenu mnanusa tu leo imekuwa ni kelele Tanzania nzima na duniaq kwa ujumla. Hii ndio inayotuelekea kuongeza kodi za simu na kodi ambazo mnaziita kero. Tunataka tuwe nau uwezo wa kifedha ili tuweze kupambana vema na upinzani ambao unasuasua, legelege na husio kuwa na mwelekeo.
 
tatizo ni kwamba kila kitu kinajulikana ila kesi imepelekwa kwa watuhumiwa familia ya fastjet ni wauzaji unga wazuri na tunajua kua miraji anatumia na riz ndo anaeuza kwaio itakua vigumu sana kuwachukulia hatua za kisheria hadi 2015 tutakapo amua kuwatoa ccm madarakani na kuwafungulia kesi mahakamani.
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Wewe unaweza kuwasemea CUF Cha msingi jadili hoja,to a sifa bila walakin,usichafueswaumu yako..

drug barons wengi wanatumia migongo ya Dini Mimi ni mkristo lakini won't spare any of them selfish deacons and in the interest of our country we should work together to get these drug lords named,shamed and locked away, tena wanatuharibia sana vijana wetu, wenyewe wanatumia umaskini wa vijana kujineemesha natamani watandikwe viboko hadharani Kama ni Mashekhe au ni mapadri vigogo serikalini no sparing any of them.
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

mkuu@ritz hii CCM ndio ilipotufikisha
__mafisadi_ccm
__wauza kokein_ccm
__mikataba mibovu_ccm
__ufisadi_ccm
__kusafirisha nyara nje ya nchi_ccm (kinana)
~~kuteka na kungoa kucha watu_ccm
__ccm,ccm,ccm.....kwanini msitupishe ili turudishe heshima ya nchi????
 
Wanakamata vidagaa tu,lakini mapapa na manyangumi ya unga yanapeta mitaani
 
Asante MM kwa uchambuzi wako makini umetusaidia hata tulioshindwa kuisoma barua ile kutokana na kutumia simu!!!!!! Sasa kazi imebaki kwa huyu jamaa wa magogoni nina uhakika hawezi kuchukua hatua yeyote kwa sababu hao ndio waliomweka madarakani,anawaogopa sana hao jamaa zake,
Tutakachosikia ni ngonjera za mwisho za mwisho wa mwezi anazoimba kwenye vyombo vya habar,Au atawaita wazee wa Dar es salaam() au atakuja Salva Rweyemamu kuleta ngonjera kwa niaba ya IKULU? ni maswali bila majibu!!! Tusubiri Tuone!!!!
Wewe ushajua tatizo lilipo; hata aje nani madarakani ataletwa na hao hao
 
Mimi sidhani tatizo letu hapa ni JK, CCM au serikali. Huu si uchafu mdogo ni uchafu unaohitaji tuunganishe vichwa bila kujali itikadi tutengeneze vita na mikakati ya kuendesha mapambano dhidi ya majanga haya. JK alilivalia njuga lakini kaona hana ubavu nalo na hata akija nani hawezi kuwa na ubavu kama hatuamui kuwa wawazi na kupambana nalo kama vita ya ukweli. Anayebugia anyongwe au akimtaja aliyemuuzia apewe kifungo cha maisha; mbebaji akimaliza kifungo nje akirudi ni kunyongwa na akiweza kuwataja wahusika ni kifungo cha maisha. Wahusika wakuu ni kunyongwa tu moja kwa moja na nchi nzima tuendeshe kura ya siri kuwataja na kuwamaliza.

Kaka are you serious kweli?

Wewe unadhani JK na serikali sio tatizo?..hivi unajua nguvu alikuwa nayo Mh.Rais katiba?..unajua kweli majukumu yake kwa nchi?..ni kweli Rais anaweza kushindwa kitu kiovu kinacoidhuru nchi yake?

Hivi unajua watendaji wa serikali wanalipwa na kupewa vitendea kazi kwa kodi zetu,ili kutulinda,na baadhi ya vyombo ni Jeshi la Polisi,TISS,Kitengo cha Kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya,..kwanini sio tatizo ili hali jamii inangamia?..madawa yamezaga kila kona

Ni kweli jamii inatakiwa ishirikiane,lakini Rais,Serikali kwa maana ya vyombo vinavyohusika lazima vitimize mAJUKUMU yao,wakishindwa waelezwe
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Hutaki mfano wa upelelezi juu ya CHADEMA na siasa Yao au? mbona Nawe husemi mfano kuhusu nccr ya mrema?? Au Hutaki kung'oa mtandao wa madawa ya kulevya coz utasaidia CHADEMA?
 
Kwahiyo kukataa kulipa kodi ndio jambo la maslahi kwa taifa?

Kama kodi haitumiki ipasavyo ni masilahi kwa taifa kuigomea. After all hii topic haihusiani na suala la kulipa au kutokulipa kodi, ni madawa ya kulevya. Yaelekea wewe ni miongoni mwa punda. Mtu mzima unakubali kuingiziwa kwenye 'nanus' kunatofauti gani na kupigwa kabang!!!!
 
jk umeandika kwa herufi kubwa lakini Mungu kwa herufi ndogo. jehanam umeandika kwa herufi kubwa lakini Mungu kwa herufi ndogo.
Lakini ktk tafakari yangu nikagudua upo sahihi kuwa MUNGU aogopwe kwani jk na jehanam hawamuwezi MUNGU NA UTUKUFU WAKE KATIKA USTAWI WA TAIFA LA TANZANIA!
 
Kikwete atoa wiki mbili kwa MAJAMBAZI kusalikisha siraha na kujisalimisha. Atoe basi na kwa hawa jamaa wa sembe. Atabaki kuwa na majina yao mpaka lini.
 
Nimepitia comment nyingi hapa watu wana shauri tuungane! Najiuliza uungane na nani!? Fikilia vyombo vya dola ndio vinashiriki magari ya JWTZ yanafanya escort!? Angalia maafisa wa uhamiaji wanampeleka Mtu hadi boarding! Hapa utaungana na nani!? Tokea madawa yameanza kukukamatwa ni lini POLISI waliyateketeza?! Hapa mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi ndio wanajua haya Rais ambaye ndio bosi wao yupo kimya!! Labda tushauriane tuishitaki serikali umoja wa mataifa!
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
LILA NA FILA HAZITENGAMANI.Huwezi kuongelea mambo ya drug bila kuwagusa CCM where all drug barons is their mothers land.Pia usitake kila anapotaja kiyu amalize listi yote ndo sababu babako alikwambia akili za kuambiwa changanya na za kwako.Mbona ktk serikali ya SSM katujawai kuona akifungwa mtu wa rushwa kubwa wanaotajwa ni wale cheap tu?Mbona EPA walishatakiwa wale wabebaji na siyo wenye mizigo ambao walisamehewa?
 
Kaka are you serious kweli?

Wewe unadhani JK na serikali sio tatizo?..hivi unajua nguvu alikuwa nayo Mh.Rais katiba?..unajua kweli majukumu yake kwa nchi?..ni kweli Rais anaweza kushindwa kitu kiovu kinacoidhuru nchi yake?

Hivi unajua watendaji wa serikali wanalipwa na kupewa vitendea kazi kwa kodi zetu,ili kutulinda,na baadhi ya vyombo ni Jeshi la Polisi,TISS,Kitengo cha Kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya,..kwanini sio tatizo ili hali jamii inangamia?..madawa yamezaga kila kona

Ni kweli jamii inatakiwa ishirikiane,lakini Rais,Serikali kwa maana ya vyombo vinavyohusika lazima vitimize mAJUKUMU yao,wakishindwa waelezwe
Sasa unafikiri huyo Rais akitupa jicho kushoto kulia anaona walioko kwenye orodha ni walewale wanaotuwekaga madarakani atafanyaje? na kama hatusafishi si hata uongozi utakaoingia madarakani mda wowote utawekwa na hao hao?
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Pole pole tu nafsi ndio inaujuwa ukweli wa kilicho moyoni mwako.
Tumuogope Mungu muumba.
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.


Mkuu mchambuzi amechambua kutokana Na taarifa zilizopo, utendaji kazi Wa vyombo vya usalama Na Hali halisi ya vyombo hivi kutumia nguvu kupita kiasi kuandama vyama vya upinzani Na hasa Chadema, viongozi Na wafuasi wake badala ya kudhibiti uhalifu Na wahalifu.
Wahalifu sasa hivi wanapeta ili mladi ni wanachama Wa CCM. Na wewe Mkuu hili unalijua.
Hivi vyombo vya usalama viko Chini ya uongozi Wa CCM. Sijasikia kikao chochote cha halmashauri Au kamati kuu ya CCM kukaa Na angalau kutoa hata kauli za kulaani maovu haya ambayo yanaangamiza taifa letu.
Anyway, hata wewe ulipaswa kulaani Hali hii lakini kwa Bahati mbaya Naona upeo wako Na wewe umeishia ulipoona neno CDM kila kitu kikakosa maana; pole sana Mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom