Mkuu Nguruvi3,Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.
Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.
Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.
Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
umechapia sana mzee ni to make us the fools
Hatred is your reward for our love
chase them crazy baldhead
But in the end ni mzigo wa kilo 160. Unataka kusema kilo 160 katika mabegi 10 ya kilo 16 ni rahisi kutoonekana? Ninapoongelea 160 ninaongelea kiasi kilichokamatwa ambacho kimetengeneza headlines duniani.Mkuu Nguruvi3,
Hawasafirishi kama gunia la mahindi au mbunga, wanapakia kwenye mabegi madogo madogo.
Sembe ya kila mia 150 unaweza kukuta imepakiwa kwenye mabegi hata matano au sita.
Umenifurahisha sana mkuu ha haa ha ha, sembe ni hatari kwa nguvu kazi ndiyo maana China wananyonga wakikukamata na mzigo mkubwa.
Mwanakijiji ni mwanaharakati wa chadema.
Zungumzia serikali yako na madawa ya kulevya... na tuhuma za maafisa wake kuhusishwa na madawa ya kulevya. Mwanakijiji is a non-issue.
Issue ya Ritz ilihitaji ufafanuzi ili wadau waelewe wanadeal na mtu wa namna gani.
"American Gangster" - Danzel Washington
Labda ujanielewa vizuri, wala sijakuambia ukiwekwa kwenye mafungu kadhaa itakuwa ngumu kukamatwa.But in the end ni mzigo wa kilo 160. Unataka kusema kilo 160 katika mabegi 10 ya kilo 16 ni rahisi kutoonekana? Ninapoongelea 160 ninaongelea kiasi kilichokamatwa ambacho kimetengeneza headlines duniani.
Hakuna gazeti (at least niliyosoma) lililosema kilo 160 katika mafungu kadhaa!
China wamekula vichwa sana, na wengine wapo Arab world wakisubiri upanga. Hatari Ritz
Siajabu ukisafiri na passport ya Tzn ukawekewa microscope mwisho wa alimentary canal(lahaula) wakijua ni wale wale. ha ha ha
Ni nyimbo tu za majukwaani. Eti Taifa lina rada? Rada yenyewe haioni kama Rais wetu na ndiyo maana marais wa Marekani wakija Nchini vyombo vyetu vya ulinzi wa wezi hukalishwa pembeni, wanajua udhaifu wa viongozi wetu! Zee la kupiga (anajua kupiga tu) alisema wauza madawa hawa ni watu hatari. Mbaya zaidi hatufafanua ni watu hatari kivipi. Rais aliwahi kusema hadharani kwamba list anayo, kaifanyia nini hadi leo hii? tena baada ya wahusika kusikia serikali ikikili kuwa ni watu hatari, orodha ya majina yao wserikali inayo na haiwachukulii hatua, wameamua kufanya mambo hadharani kwa sababu hakuna haja tena ya kufanya kificho. Hata motto wa darasa la nne anakueleza nini maana ya matukio haya na kwanini hakuna ufuatiliaji. Tafsiri nyepesi sana hii inamaanisha hata Rais ni dealer. Nchi iko salama???!Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.
Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.
Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.
Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Usitutoe kwenye mada please!!Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya Chadema na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na Chadema tu.
Umechangia nini kwani?Usitutoe kwenye mada please!!