Ile kauli ya John Mnyika kua Rais ni dhaifu na serikali dhaifu inaendelea kujidhihirisha!!
Hivi wale akina Nzoa waliotaka kumbambikia mtoto wa Mengi Madawa wakipata melekezo na pesa toka kwa Manji, issue yao iliishia wapi? Walipofukuzwa kazi walipelekwa mahakamani?
CCM has failed in many ways this is the time kuing'oa nchi kiuhalisia haiko salama,drug dealers,mafisadi ,wauaji nk ndo ambao wamebaki kuipa nguvu serikali ya sisiemu tena kwa manufaa yao binafsi na kukwepa mkono wa sheria,kwa taarifa hiyo tu inatakiwa ijitathmini na ikiendelea kuishikirilia without feedback(reaction) makes me to believe ccm ni kichaka cha maovu yote yanayojulikana duniani-wauaji,mafisadi,drug dealers,wakandamizaji,wanyonyaji,wahujumu uchumi n.k n.k
Imefika hatua nchi hii aliyoiacha Nyerere iko salama Mbunge ni drug dealer,Waziri fisadi,polisi wa kawaida jambazi,inspector muuaji,luteni ni Jangiri !!Nani hapo atamnyooshea mkono mwenzie..huu mtandao unatakiwa kung'olewa na watu safi,walio nje ya mfumo wao si wengine ni CDM
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa jinsi unavyochangia unaonyesha nawewe ni mhusika kwenye biashara hii haramuUmeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Na kinachozidi kushangaza na kusikitisha zaidi ni pale unapobaini kuwa wanaohusika na uangalizi na usimamizi wa uwanja wa ndege bado wanadunda mtaani na wangali wanafuatwa na kuchukuliwa majumbani kwao kwa ma v8; huku wenyewe wakitupiana mpira. Tulipofika pabaya sana, hata Mungu sidhani kama atatuokoa tena. Maana ukiona katika Taifa viongozi ndio wanaofanya uhalifu, jua uliyobaki ni angamizo tuSwali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.
Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.
Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.
Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
ni kweli....Madawa ya kulevya hayana chama wala itikadi za kisiasa, wavuta na wauza unga wapo kotekote.
Ndio umechangia nini hapa?Madawa ya kulevya hayana chama wala itikadi za kisiasa, wavuta na wauza unga wapo kotekote.